Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Kazi kweli kweli Mwanaume mzima una miaka 11 kwenye ndoa unaomba ushauri wa kitu kidogo kama hiki? Unataka akuite Paka au?
 
Kazi kweli kweli Mwanaume mzima una miaka 11 kwenye ndoa unaomba ushauri wa kitu kidogo kama hiki? Unataka akuite Paka au?
Soma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.
 
Mkuu ni kweli ila watu wengi wana gubu watamchukia hata pale utakapo hitaji msaada wao hawatampa kwasbb ya chuki zao binafsi, ndg zetu wengi hapendi wapandanao
Hata shetani huwa hapendi kusikia majina matamu kama hayo. ila Mungu ni mzuri sana, atampigania na maadui watakaojiinua dhidi yake.
 
Soma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.
kama mkiwa msibani, mwambie shem akuite kwa upole huku amelegeza sauti kidogo,,,,,,, "HONEYYYYY" 😁😁😁 itasound poa sana
 
,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.
Majirani huwa hawapendi. ila hatuishi kwaajili yao. mimi mpaka leo naitwa jina langu la asili. utasikia "jambaaaa"πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.
Majirani huwa hawapendi. ila hatuishi kwaajili yao. mimi mpaka leo naitwa jina langu la asili. utasikia "jambaaaa"[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila mkuu hao majilani tunawategemea kwa mambo mengi, sio vizuri kuwaudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…