Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Kwani leo imekuwaje? Naona unanifuata hadi bafuni. Angalia babu anaoga utapata laana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nakufata hadi chooni,
 
Muache ajibebishe maisha yenyewe mafupi haya

Tatizo waafrika sisi ndoa zetu zina makasiriko mpaka wenye mahaba yao wanatukera!!!!!

Hao wazazi mnaowaonea aibu wenyewe ni madarling( baba darling wa mama n vice versa)
 
Tembea na mkia wa taa, siku akikuita hooneeeeyyyy mbele za watu, tandika mikwaju bila huruma mbele za watu.

Lakini akianza kukandwa kandwa na vijana wa mujini we jinyonge maana huwa hakuna suluhu hapo
 
Hata mimi hizo mambo sifagilii kabisa. We uliwahi mskia mama yako anamuita ivo baba yako hadharani? Au ndio hawako civilized.

Sasa fanya hivi mzee rekebisha ratiba ukienda na mkeo kijijini kuwa bize na mambo ya msingi kama, kuchimba kaburi, tembelea majirani mnaofahamiana, kukaa na wazee, kukaaa na classmates wako, kula mvinyo na wajuba ivyo yani, kurudi village kwangu huwa ni adventure.

Sasa wewe unakaa sijui jikoni mara sitting room siku nzima mke kila akipita anakuona, hapo utazingua.

Hapo mkeo kuna strategy anaipanga na inatuma message flani kwa jamii, na unajua watu wa bush uwezo wao wa kufikiri uko vipi kuhusiana na hayo maswala.

When you are in Rome, you do as the Romans do.
 
muache ajibebishe maisha yenyewe mafupi haya


tatizo waafrika sisi ndoa zetu zina makasiriko mpaka wenye mahaba yao wanatukera!!!!!


hao wazazi mnaowaonea aibu wenyewe ni madarling( baba darling wa mama n vice versa)
Unajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!
Muda wote badala kukaa na wanawake wenzio muomboleze wewe unajibanza tu kwa baby wako
Eti "baby umepata nyama au nikuongeze"
Mazafanta wanaume haya mambwembwe yakizidi hua tunaona kero, hebu kueni na staha acheni ulimbukeni wa kugelezea mapenzi.
 
Hee jamani kwani ugomvi? Anyway kupitia huu uzi nimejifunza jambo jipya
 
Alaf wanawake wa hvyo n vimalaya balaa.,wewe unafurah hivyo kumbe nyuma wasenge wanakuzomea

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
You must be bright unlike many lupens........mtu kukuiita majina ya mahaba hadharani sio kwamba inakusaidia wewe hapana, yeye ndo anae faidika nalo kwa kuonyesha jamii taswila ambao some time sio ya ukweli, mbona wazazi wetu hawakuendekeza majina kama hayo.
 
Mimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
Khaaa!!!! hatari wake zetu na kiherehere hamjambo kweli kwanini hayo usiabakize nyumbani kwenu tu.
 
Mimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
Hayo mengine naweza kuelewa ila kwenye kochi moja duh...wakati wa kulala kila mtu analala kivyake?
 
Kuna muda wa kukaa na wanawake

Na kuna muda wa kukaa na honeeeyyyy!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…