cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nakufata hadi chooni,Kwani leo imekuwaje? Naona unanifuata hadi bafuni. Angalia babu anaoga utapata laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nakufata hadi chooni,Kwani leo imekuwaje? Naona unanifuata hadi bafuni. Angalia babu anaoga utapata laana
Muache ajibebishe maisha yenyewe mafupi hayaIla wengine wamezidi jamani
Sisi waafrika tuna mila zenye staha kidogo sio kama hao wazungu tunaowaiga wanaopigana denda hata mbele ya wazazi wao.
Kuna mmoja huyo tuko msibani anakazana tu kumuita mumewe Darling na kujibebisha hovyohovyo mbele za watu.
Sisi wanaume wa kiafrika hayo mambo hatujayazoea jamani, kuna mazingira hua tunaona ni kero.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji846][emoji846][emoji23][emoji23][emoji23]mdau kakaa na mkewe miaka 11 ila mwaka huu ndo kaenda nae kijijini sijui mnawaza nachokiwaza hapa
Honeyyyyyyyyyyy🔊🔊🔊🔊🔊Hili unataka wana JF wakushauri?? Nini kazi ya hilo boga juu ya shingo??🤔
Sasa wewe unafanya nini eneo lisilokuhusu?Ngoja waje wanandoa
Tembea na mkia wa taa, siku akikuita hooneeeeyyyy mbele za watu, tandika mikwaju bila huruma mbele za watu.Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Unajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!muache ajibebishe maisha yenyewe mafupi haya
tatizo waafrika sisi ndoa zetu zina makasiriko mpaka wenye mahaba yao wanatukera!!!!!
hao wazazi mnaowaonea aibu wenyewe ni madarling( baba darling wa mama n vice versa)
Hee jamani kwani ugomvi? Anyway kupitia huu uzi nimejifunza jambo jipyaUnajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!
Muda wote badala kukaa na wanawake wenzio muomboleze wewe unajibanza tu kwa baby wako
Eti "baby umepata nyama au nikuongeze"
Mazafanta wanaume haya mambwembwe yakizidi hua tunaona kero, hebu kueni na staha acheni ulimbukeni wa kugelezea mapenzi.
Alaf wanawake wa hvyo n vimalaya balaa.,wewe unafurah hivyo kumbe nyuma wasenge wanakuzomeaUnajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!
Muda wote badala kukaa na wanawake wenzio muomboleze wewe unajibanza tu kwa baby wako
Eti "baby umepata nyama au nikuongeze"
Mazafanta wanaume haya mambwembwe yakizidi hua tunaona kero, hebu kueni na staha acheni ulimbukeni wa kugelezea mapenzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio ugomvi ni kuwekana sawa tu darling khantwe.Hee jamani kwani ugomvi? Anyway kupitia huu uzi nimejifunza jambo jipya
You must be bright unlike many lupens........mtu kukuiita majina ya mahaba hadharani sio kwamba inakusaidia wewe hapana, yeye ndo anae faidika nalo kwa kuonyesha jamii taswila ambao some time sio ya ukweli, mbona wazazi wetu hawakuendekeza majina kama hayo.Hata mimi hizo mambo sifagilii kabisa. We uliwahi mskia mama yako anamuita ivo baba yako hadharani? Au ndio hawako civilized.
Sasa fanya hivi mzee rekebisha ratiba ukienda na mkeo kijijini kuwa bize na mambo ya msingi kama, kuchimba kaburi, tembelea majirani mnaofahamiana, kukaa na wazee, kukaaa na classmates wako, kula mvinyo na wajuba ivyo yani, kurudi village kwangu huwa ni adventure.
Sasa wewe unakaa sijui jikoni mara sitting room siku nzima mke kila akipita anakuona, hapo utazingua.
Hapo mkeo kuna strategy anaipanga na inatuma message flani kwa jamii, na unajua watu wa bush uwezo wao wa kufikiri uko vipi kuhusiana na hayo maswala.
When you are in Rome, you do as the Romans do.
Ni mejajili mkuu, kusubilia siku 30 ndo nilipwe mshahara ilinishinda siwezi kabisa.Siku ukifukuzwa kazi uliyonayo hapo ndipo itakapokuwa mwisho wa jina hilo.
Vumilia mkuu..
Why boga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili unataka wana JF wakushauri?? Nini kazi ya hilo boga juu ya shingo??[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi alikuaga ananiita 'baby'.....nikafanya ujinga kama wako siku hizi ananiita 'babaake'
Khaaa!!!! hatari wake zetu na kiherehere hamjambo kweli kwanini hayo usiabakize nyumbani kwenu tu.Mimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
Hayo mengine naweza kuelewa ila kwenye kochi moja duh...wakati wa kulala kila mtu analala kivyake?Mimi wa kwangu hataki nimkumbatie, wala kumshika mkono au kukaa kochi moja wala kumchum tukiwa kwao. Weird!
Kuna muda wa kukaa na wanawakeUnajibebishaje mpaka msibani banaaa kama sio uswahili huo!!!!
Muda wote badala kukaa na wanawake wenzio muomboleze wewe unajibanza tu kwa baby wako
Eti "baby umepata nyama au nikuongeze"
Mazafanta wanaume haya mambwembwe yakizidi hua tunaona kero, hebu kueni na staha acheni ulimbukeni wa kugelezea mapenzi.