Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Wewe uko smart and experienced guy, umenielewa ipasavyo, isipo kua hata some time ana acha kazi zake muhimu ananifuata nilipo kukaa ili kua karibu nami atakuambia kazi ntazifanya badaye duh.
 
Shida sio moto kama nyie idolecents mnavo fikilia kuna mambo megine zaidi ya hayo msiwe obsessed na sex tu, marriage is wide beyond conjugal relation.
Unahitaji nini kama yote hayo unayafaham au umehitaji tujue kama mkeo anakupenda kwa kisingizio kuwa anakukera,,,,,,Mungu fundi kuna siku utatuletea mlejesho juu ya anavyo kukela kwa hali ya manjonzi na majuto.
 
Wa laa siko vile kama unavo fikilia, mimi nimekulia katika open society na express mind yangu ili niwe free, najifunza mengi kutokana na mawozo ya wengine.
 
Binadamu hatuna shukrani,sasa,anakuwazia,anakupenda na anapenda kuwa nawe muda wote
Upewe nini sasa?
 
Shukuru sana uko na mke mzuri, hayo mengine ni madhaifu madogo, ipo siku utakutana na yasiyojali huu uzi utaufuta
 
Binadamu hatuna shukrani,sasa,anakuwazia,anakupenda na anapenda kuwa nawe muda wote
Upewe nini sasa?
Mmh kupendwa ki hivo mie sina faida nako kunakua kero badala ya raha, yeye analidhisha nafsi yake mie inaniumiza
 
Shukuru sana uko na mke mzuri, hayo mengine ni madhaifu madogo, ipo siku utakutana na yasiyojali huu uzi utaufuta
Kwanini nisikutane na mazuri lazima liwe baya tu mimi sio mtu wa kua pessimistic all time always am optimistic
 
Unataka ale vibaya wewe utavila?

Kenge we wa kijani. Espy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukiona mke wako hataki attention yako anapigwa pumbu samwea *****.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanamke ana tabia zake flani hivi mabaharia tunazielewa! Sema ukiona yupo kama wa mtoa mada jua hapo upo mwenyewe yani...Akikamata bluetooth connection upande wa pili jamaa atarudi na uzi hapa mbona mke wangu hanijali sikuhizi maana huwa wanakataga line ghafla tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja akutane na mhuni atakayempa attention kila saa hapo ndiyo utaichukia ndoa yako. Kwenye miti HAKUNA WAJENZI!!!

Aisee una bonge la mke.
 
Mkuu, kuna siku utamtafuta hata wa kukuganda na usimpate. Leo hii ukapata ulemavu unadhani atakubena nani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wabongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann mnapenda kuhusisha mahusiano na majanga ya maisha. Sasa wewe unaishi na mwenzako kama mtu wa kuja kumtumia ukipata majanga.....
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja akutane na mhuni atakayempa attention kila saa hapo ndiyo utaichukia ndoa yako. Kwenye miti HAKUNA WAJENZI!!!
Kuna vijana hawana kazi so kutuma sms za kumnyegesha mke wa mtu kwao sio ishu! Wakati jamaa anajifanya anakerekwa kupigiwa simu demu atahamishia majeshi kwa baharia mmoja then kifuatacho zitaanza ratiba za kupangiwa uchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mara nimechoka, mara ntakupa asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…