KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nakuona..๐Hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona..๐Hapana.
Nataka kwa mbali lakini..๐Hutaki au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nataka kwa mbali lakini..[emoji28]
Ombi langu la Jana ukalitupilia pangoni..๐ฅ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe uko smart and experienced guy, umenielewa ipasavyo, isipo kua hata some time ana acha kazi zake muhimu ananifuata nilipo kukaa ili kua karibu nami atakuambia kazi ntazifanya badaye duh.Naona wajumbe wa hili balaza wengi wenu hamjamuelewa vema mleta uzi.
Si kwamba yeye hafahamu kuwa mkewe ana mapenzi na yeye au si kwamba yeye hapendi kupewa attention na mkewe ila swala linakuja ni kuwa huyu mkewe ana ile hali ya kiakili inaitwa Obsession.
Yaani inakuwa in excessive au too much attention kiasi kwamba huyu mwanamke anafanya akili yake kufocus na mwanaume wake kwa 99% muda wote.
Mwanamke akiwa hivi anaweza hata kuamka usiku akabakia anakukodolea macho anakuangalia kama picha kuku observe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi ukiwa mbali anakuwa na wenge kuwa labda utaibiwa na ndipo hapo simu zinapigwa kwa mfululizo sababu wewe ni object yake ya focus.
Sasa mbaya zaidi unaweza kuta hata unapokuwa ndani nyumbani , anashindwa kufocus na mambo mengine na hataki wewe ufocus na chochote uwe unamtazama yeye tu kama yeye anavyokutazama.
Ni kitu kizuri ukijua kucheza nae kwa akili yake hiyo hiyo ila ni kitu kibaya ukimuona ni tatizo.
Wanawake wa namna hii ili kuwamudu unatakiwa kumuweka sawa kwa kumshirikisha katika ratiba zako. Mfano kama mk e wa mleta mada anaonekana yupo idle home. So jamaa anatakiwa afungue biashara ndogo na aanze kumfunza mkewe kusimamia hiyo biashara ili ikue.
Ukikaa nae ndani tenga muda hata masaa mawili au hata matatu ya kukaa nae mkifuatilia story za umbea maana mara nyingi wanawake wa hivi ukimwambia lete story anakuwa hana la kusema atakwambia mmmmmmhmn me sina story niambie wewe. So katika umbea mle atakuwa anaenjoy ile moment ya kuongea na wewe na kuona umemleta karibu. Kisha mkumbushe majukumu yake mengine ya ndani na wewe ujifanye kuna kitu unataka kufanya kwa muda huo. Akizoea hizi routine atajua namna ya kuishi na wewe
Unahitaji nini kama yote hayo unayafaham au umehitaji tujue kama mkeo anakupenda kwa kisingizio kuwa anakukera,,,,,,Mungu fundi kuna siku utatuletea mlejesho juu ya anavyo kukela kwa hali ya manjonzi na majuto.Shida sio moto kama nyie idolecents mnavo fikilia kuna mambo megine zaidi ya hayo msiwe obsessed na sex tu, marriage is wide beyond conjugal relation.
Wa laa siko vile kama unavo fikilia, mimi nimekulia katika open society na express mind yangu ili niwe free, najifunza mengi kutokana na mawozo ya wengine.Unahitaji nini kama yote hayo unayafaham au umehitaji tujue kama mkeo anakupenda kwa kisingizio kuwa anakukera,,,,,,Mungu fundi kuna siku utatuletea mlejesho juu ya anavyo kukela kwa hali ya manjonzi na majuto.
Marahaba.. Hujambo?Dada shikamoo[emoji1787][emoji1787]
Shukuru sana uko na mke mzuri, hayo mengine ni madhaifu madogo, ipo siku utakutana na yasiyojali huu uzi utaufutaHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Kabisa mkuuHongera sana... huyo ni mke wa maana.
Una mbweembweeKwanini nisikutane na mazuri lazima liwe baya tu mimi sio mtu wa kua pessimistic all time always am optimistic
๐๐๐๐๐๐ mwanamke ana tabia zake flani hivi mabaharia tunazielewa! Sema ukiona yupo kama wa mtoa mada jua hapo upo mwenyewe yani...Akikamata bluetooth connection upande wa pili jamaa atarudi na uzi hapa mbona mke wangu hanijali sikuhizi maana huwa wanakataga line ghafla tuUnataka ale vibaya wewe utavila?
Kenge we wa kijani. Espy ๐๐๐
Ukiona mke wako hataki attention yako anapigwa pumbu samwea *****.
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Hahahaha tena chini ya miaka 4 tu mke anakuwa kashakinai ndoa yenyewe wanaishi bora liende tu ๐Aisee hadi nakuonea wivu et. Huyo ndio mke sasa tena miaka 11 ya ndoa lakin bado tu ana moyo wa hvyo, wenzio wanateseka sahih ndan watu wanapishana kama hawajuani et
Aisee una bonge la mke.Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.
Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Wabongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann mnapenda kuhusisha mahusiano na majanga ya maisha. Sasa wewe unaishi na mwenzako kama mtu wa kuja kumtumia ukipata majanga.....Mkuu, kuna siku utamtafuta hata wa kukuganda na usimpate. Leo hii ukapata ulemavu unadhani atakubena nani
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuna vijana hawana kazi so kutuma sms za kumnyegesha mke wa mtu kwao sio ishu! Wakati jamaa anajifanya anakerekwa kupigiwa simu demu atahamishia majeshi kwa baharia mmoja then kifuatacho zitaanza ratiba za kupangiwa uchi ๐๐๐๐ mara nimechoka, mara ntakupa asubuhi!๐๐๐๐ ngoja akutane na mhuni atakayempa attention kila saa hapo ndiyo utaichukia ndoa yako. Kwenye miti HAKUNA WAJENZI!!!