Mkewe ni kimbofa sio chubby!πππImagine.. yaan haaana mapenzi kabisa na mkewe. Hatakubali hili. Yaan anamwona mkewe kama kero. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Kuna siku atamtafutaaa. Shouts out to us chubby girls[emoji91][emoji91][emoji91][emoji4] we are lovely
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Raha ya mapenzi patner wako akugande kama hivyo yani π muwe mnaenda wote places! Mapenzi ya hivyo ni matamu sana ila tatizo hela tu ndio zinatutenganisha na ufilipinoπ[emoji3][emoji3][emoji3]ukimpenda mtu awe anakufanyia hivo raha sana!!! Kweli mapenzi n matamuu sana!! Tunatofautiana !! Mi ndo napenda aisee namuazima uyo mkeo hata wiki[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkewe ni kimbofa sio chubby![emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu wa hivi siku shinda nae njaa ikiwauma vizuri ataelewa vyema kuwa ni lazma utoke tu π wala hatakubanaKama tubadilishane me wakwangu hataki hata kuniona
Chubby hanaga kilo 105 wewe πππhuyo ni kibonge mchicha πTena wanasema chubby girls hawanaga makasiriko wala roho mbaya
[emoji1787][emoji1787]si alipungua mkuu kutokana na maelezo ya mtoa mada, anyway wanasemaga wanawake wanene hawanaga roho mbaya na visirani ila wembamba naskia huwa na visiraniChubby hanaga kilo 105 wewe [emoji23][emoji23][emoji23]huyo ni kibonge mchicha [emoji23]
Is she short in height?Hana 105 kapunguza ana 95 kwasasa tulisha punguza kilo 10 tayari
Vibonge vina upendo wa dhati na vinajua kuganda kama kupe πππila wale wenye miili kama miwa kwanza wana midomo michafu kama chemba za choo na kupenda mabishano na ligi na wanaume kama kazi.[emoji1787][emoji1787]si alipungua mkuu kutokana na maelezo ya mtoa mada, anyway wanasemaga wanawake wanene hawanaga roho mbaya na visirani ila wembamba naskia huwa na visirani
Haleluyah.....Vibonge Oyeee.Vibonge vina upendo wa dhati na vinajua kuganda kama kupe [emoji23][emoji23][emoji23]ila wale wenye miili kama miwa kwanza wana midomo michafu kama chemba za choo na kupenda mabishano na ligi na wanaume kama kazi.
Hahahahah kama mrefu si mbaya na ana ugonjwa wa kupenda mwanaume mmoja huyo ndio maana anasumbua na mawivu!Mrefu sana yule ni gianti ila tabia zake za kunilinda kila mahara ndo zina nikera
Na sisi saizi ya kati mkuu, sisi size 10 mtuambie tujijue[emoji1787]Vibonge vina upendo wa dhati na vinajua kuganda kama kupe [emoji23][emoji23][emoji23]ila wale wenye miili kama miwa kwanza wana midomo michafu kama chemba za choo na kupenda mabishano na ligi na wanaume kama kazi.
Haleluyah.....Vibonge Oyeee.
Na sisi saizi ya kati mkuu, sisi size 10 mtuambie tujijue[emoji1787]
Sina picha mkuu ya size 10Picha ya size ya kati ITAPENDEZA. [emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anamaanisha nini BAK?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana kule IG mhuni mmoja katuma picha mbili moja ya kibonge na nyingine ya kimbaumbau kisha akaandika wenye akili wataielewa hii picha. Nilitaka niichukue niilete humu lakini nikaona inaweza kuzua kizaazaa humu. Nikaamua kuachana nayo.
Size ya kati maana we ni chubby π sio chikonda!Na sisi saizi ya kati mkuu, sisi size 10 mtuambie tujijue[emoji1787]