Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Wabongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann mnapenda kuhusisha mahusiano na majanga ya maisha. Sasa wewe unaishi na mwenzako kama mtu wa kuja kumtumia ukipata majanga.....
Mkuu, siye tusiseme sana. Sisi tuangalie tu mwishowe kama ataleta mrejesho mpya. Ukiwa positive haya. Ukiwa neg haya

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazidi kumvuruga. Kisaikolojia ukishampa muhanga uhakika kama huu basi ndo atashikilia hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Watu ka hawa ni wagonjwa bana, na jiji la Dar ni vinara wa watu wenye ukichaa huku watu wakifikiria ni mapenzi, wivu uliopitiliza nao ni dalili mojawapo
 
Duh,kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
 
Oa mke wa pili ndio utaijua thamani yake sasa....huyo yupo kama huyu hapa anakupigia simu kutwa mara 10...na hachoki kuongea na wewe....hadi unajiuliza kweli mimi sina shukrani mtu hakuchoki kila kukicha...kijana mpende mkeo huo ni upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni ukibugi hapo ujue umepotea njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…