Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Hamna hayo mapezi ya design hiyo siapendi hayaniongezee chochote zaidi ya stress
 
Hamna hayo mapezi ya design hiyo siapendi hayaniongezee chochote zaidi ya stress
Ndio kawaida ya mwanaadamu...huomba jambo akilipata sasa anaona halina faida kwake analizioea na kulichukulia poa.
Hata utajiri,elimu,umaarufu, kabla haujavipata unavipa thamani kubwa ila ukishakuona navyo unaviona vya nini si lolote si chochote kwako.
 
Una bahati ya Mtende BADILIKA Mkuu. Mpe Mkeo attention aitakayo toka kwako kwani utapungukiwa kipi? Ole wako wahuni wamnase kwa URIMBO.

I can't leave her plz.....ni muzri kasoro ni hiyo tu.
 
[emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Mkuu amini usiamini huyo ndiyo Mke bora kabisa! Anakupenda upeo,nikupe hongera kwa kupata mkeo wa aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…