miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Nye nye nye[emoji23][emoji23][emoji23] unaongea tu. Tuneiona miamba hapa... tunaibembeleza kwa mirinda nyeusi angalau mwili upate nguvuMkuu hiyo sio issue aende tu atapata propotionate repercussion ya kitendo hicho atakacho tenda mie sitishiwi na hayo mambo ajaribu tu idont look back kwa mwanamke mzinifu namimi siko hivo
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Kama ni mke wa watoto wako wewe inakusumbua nini wakati huyo ni mkweoHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Nadhani mwamba ndo ana issues za kisaikolojia kibao na siyo huyo mkewe. Tungekuwa na therapists na marriage counselors wazuri wangeweza kumsaidia. Wangeenda wote pamoja ili psychological entanglements zao zikawe sorted out. Ukimsoma vizuri huyu "Mr. Introvert" unaona kabisa kuna tatizo mahali.Mkuu i rest my case but you really need to fix yourself as much as you want to fix her.. You need to blend na hii sio matter ya yeye kubadilika ni hata wewe "mr Introvert".
Braza kaandika...🔥🔥🔥dadekiiiUmepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kimsingi wanawake wote wanapenda attention sema tu wengi wamejikatia tamaa kwa sababu ya waume zao kutojali. Na wanawake wengi walio katika ndoa wanachapwa nje sana siyo kwa ajili ya pesa bali kwa kupewa attention tu, kusikilizwa, kujaliwa na kuheshimiwa.
Narudia tena: wewe umepata mke mwema na anayekujali na kukupenda. Mhakikishie tu kuwa unampenda sana na kwamba upo kwa ajili yake mpaka kifo. Vizawadi vidogo vidogo na ukipata mwanya huko kazini mpigie...hata kama ni kusema tu "Niko mkutanoni lakini nilitaka tu kukukumbusha kuwa nakupenda sana mke wangu" na kukata simu inatosha. Na siku hiyo kama una kahela mkononi mchukulie kakitafunwa kake akapendako...hata kama ni kipande cha nanasi au chips (ili azidi kuwa bonge zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]). Ndoa zinahitaji kazi na una bahati huyo wa kwako angalau unajua anachohitaji ili kuwa na furaha. Wengine (hasa vimbaumbau) ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.
Akiona kuwa unamjali sana; na akawa na uhakika kuwa penzi lako kwake halijapungua; na kwamba huna wengine huko nje hata ukimwambia kuwa waifu leo naomba privacy kidogo nifanye hiki...na kibusu kidogo ukampa au ukamparaza kikofi chokonozi cha takoni - atakuelewa tu...na ukipata mwanya na wakati sahihi unaweza kuongea naye tu kwa ustaarabu kuhusu nawe kuwa na privacy yako sometimes. Atakuelewa!
Take care of that marriage my man. That's your duty na ukishindwa mabaharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
Ho my God nina mapezi buan na huyu bonge wangu, hamna mwaka ambao cijamtoa holiday ya 3-7days isipo kua miaka miwili ya jpm vyuma vilivo kanza sanaa nilishindwa kutenga kiasi mimba za watoto wangu wote amezipata tukia holiday, ndo navo penda, ila ananikera kunifuatilia fatilha mie mtaji wangu ni kichwa changu kinahitaji kupumzika.Aiseee, fix yourself. Fix yourself before u get fixed out. Iko siku utantafuta na usinsikie wala kumuona. Kuna siku utalia na kisaga meno. That lady is so innocent. Sasa litafute. Kwa akili yangu ya ndani huna mapenzi naye. Hata siku moja mtu unayempenda u will never feel bored
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mrekodie sauti awe anawasha kipaza sauti kama ile ya sumu ya panya, kunguni na viroboto
Imagine.. yaan haaana mapenzi kabisa na mkewe. Hatakubali hili. Yaan anamwona mkewe kama kero. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Kuna siku atamtafutaaa. Shouts out to us chubby girls[emoji91][emoji91][emoji91][emoji4] we are lovelyDuh alafu umemuita bonge.....offensive
Kweli,ataacha inaonekana jamaa hampigi mashine vizuri,we mpelekee Moto mpaka K iume ataacha mwenyewe na kupunguza sarakasi zake.Piga mashine tu, we akikulalia vua vyupi piga mashine
Imagine... yaan hampens kbs mkewe. Anamwona keroo. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Aliexpect tutamsupport kwa hili ila imekua tofauti. Atakataa ila kuna siku atamtafyta na asimpateDuh alafu umemuita bonge.....offensive
Mkuu, kuna siku utamtafuta hata wa kukuganda na usimpate. Leo hii ukapata ulemavu unadhani atakubena naniHo my God nina mapezi buan na huyu bonge wangu, hamna mwaka ambao cijamtoa holiday ya 3-7days isipo kua miaka miwili ya jpm vyuma vilivo kanza sanaa nilishindwa kutenga kiasi mimba za watoto wangu wote amezipata tukia holiday, ndo navo penda, ila ananikera kunifuatilia fatilha mie mtaji wangu ni kichwa changu kinahitaji kupumzika.
Hakika hampendi mke wake huyo!!Aiseee, fix yourself. Fix yourself before u get fixed out. Iko siku utantafuta na usinsikie wala kumuona. Kuna siku utalia na kisaga meno. That lady is so innocent. Sasa litafute. Kwa akili yangu ya ndani huna mapenzi naye. Hata siku moja mtu unayempenda u will never feel bored
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app