Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Huyu mwanaume ana tatizo kubwa hafu ana msingizia mke
Madam let's honour other pple's freedom of expression plz.....tusipagiane vya kuleta hapa hatufanani wala hatutafanina just respect my view and expression plz I wll do the same to you.
 
Hahahahahhahaha.. nimecheka saaaanaaaaaa ! Bonge anasumbua sio hahahah! mapenzi kumbe yakizidi nayo ni shida!

Take it easy bro , Mke wako anakupenda sana na wewe ndo fahari yake! Mpende mkeo, wenzako wanatafuta hayo mapendi wanakosa
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Hapo umeshauriwa kuwa na mawasiliano juu ya hilo suala baina yenu. Umueleweshe kwa upole na kimahaba.
 
We always crack jokes with her its not an insult to her hata watu wakiwepo namita tu na anaitika
Mkuu unapata na mtu wa kucrack nae jokes alafu bado unalalamika, tuulize wenzio anyway kwenye miti hakuna wajenzi
 
Tena wanasema chubby girls hawanaga makasiriko wala roho mbaya
 
Huyo mkeo ana kichaa kibaya sana mpeleke hospital huyo moja ya dalili za kichaa ni wivu uliopitiliza na usumbufu ka huu, mganga mmoja alizungumza juzi kati kwenye siku ya mental health, na huyo wako yuko hivo maana duh
 
Aisee umepata mke , hongera kwa hilo. Jitahid uwe romantic hata kama hujazoea, wanawake n kama watoto wanapenda kubembelezwa. Kisingizio cha sisi wanaume n kwamba tuko busy, ila hakuna kitu kizuri kama kutenga mda kwa ajili yake. NAOMBA KUWASILISHA
 
Dah ila huyu wake ni mgonjwa mwenzake kajifungia kupumzika yeye anaenda kugonga 2 hours ka si mgonjwa nini aisee
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
kiongozi hapo nadhani kuna kitu unamiss,inawezekana kabisa lugha ya mapenzi ya mkeo ni hiyo kuwa close na wewe na wewe lugha yako ya mapenzi ni tofauti na ndo mpishano unapoanzia hapo,sasa wewe kusema atafute njia nyingine ya kukupenda maanake unataka akose kuona yumo penzini,kwa sababu lugha yake ya mapenzi ni ukaribu na wewe na ambao huutaki,ukimzuia sana au kumkatalia hicho na akaona akupe ukitakacho amini mkuu mkeo ataishi na wewe akiamini humpendi,hata umfanyie nini na hii ni kwa sababu vingine vyoote unavyovifikiria wewe sio lugha yake ya mapenzi,kwa hiyo kaa utafakari chagua kusuka au kunyoa,ujifunze kumzoea au utumie nguvu kumzuia huo ukaribu aishi na wewe akiamini hauna mapenzi naye tena.
 
Mkuu unapata na mtu wa kucrack nae jokes alafu bado unalalamika, tuulize wenzio anyway kwenye miti hakuna wajenzi
She is nice katika hayo ila citaki niwe mateka wake, ila cinaujanja ntaendelea tu kumfokea ili nipate hata lisaa la ku-compos, issue yangu sio nzito kwamjibu ya wana jf japo mimi ina nikera kweli kweli freedom freedo ni muhimu kiliko hata pesa kwangu
 
Dah wanaume mna shida sana. We inaonekana ndo mwenye shida. Angekuwa mtu wa kushika yake ungekuja hapa kulia lia tena.
 
She is nice katika hayo ila citaki niwe mateka wake, ila cinaujanja ntaendelea tu kumfokea ili nipate hata lisaa la ku-compos, issue yangu sio nzito kwamjibu ya wana jf japo mimi ina nikera kweli kweli freedom freedo ni muhimu kiliko hata pesa kwangu
Heri umetambua hilo& thanks to Jf members, amini hilo issue yako sio kubwa hata kidogo
 
Huyo mkeo ana kichaa kibaya sana mpeleke hospital huyo moja ya dalili za kichaa ni wivu uliopitiliza na usumbufu ka huu, mganga mmoja alizungumza juzi kati kwenye siku ya mental health, na huyo wako yuko hivo maana duh
Mkuu naona wewe umenielewa nimpeleke hospitali gani, na niweleze je ni aibu kdg nipe mbinu basi
 
Acha upuuzi wewe, unataka mkeo atake attention ya nani?
 
Hiyo mbuzi pori itakuumiza kichwa rafiki
 
Ongea nae pole pole kwa kumuelekeza. Na mpe nafasi ya kupata uaminifu kwako. Kuna mambo unafanya ama ulifanya yamemtoa ktk imani jui yako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mukitupataga mnakuja kutuleta kwenye threads kama hivi[emoji23][emoji23] shouts out to my ex. Weee ni kajingaaa. Sema nilikuelewa sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hahaha hapana bhana,wengin tunapenda hizo,fikiria wamekaa miaka 11 lakini bado mke anampenda jamaa na mapenzi kama ya uchumba,hiyo ni bahati kwakweli.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…