Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Watu mna bahati Duniani humu....


Mimi tofauti na mom yangu mzazi na the only sister I have inaweza kupita mwezi Bila kupigiwa simu na mtu... Mimi ndo hupigia watu kuwajulia hali but wao hawanipigii.


Natamani ningepata mke Kama wako aisee
 
Hhhah kilo 95 we una kilo ngapii...!!
Tatizo liko hapa, mwanaume hamu ya mapenzi imemuisha sababu mke kawa kibonge, mwanamke hajiamini kwa mumewe sababu ya ubonge wake hivyo anakuwa na hofu ya huenda havutii machoni pa mumewe hivyo Ni Kila wakati kuhakikisha anakuwa nae karibu
 
Dah ila huyu wake ni mgonjwa mwenzake kajifungia kupumzika yeye anaenda kugonga 2 hours ka si mgonjwa nini aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] si alijua amefia huko. Kwani alimuambia anapumzika? Mwenyewe nikilala sijasikia mamangu anakohoa hata kidogo naamka kumuitaaa. Nagongaaa. Sitaki ujinga na watu wangu. Nigonge 2 hrs umekausha tu na uko mdani kimya si useme nipo napymzika kidogo? Mimi ningeingia na teke. Kama kazidiwa huko je. She is right and she cares

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ongea nae pole pole kwa kumuelekeza. Na mpe nafasi ya kupata uaminifu kwako. Kuna mambo unafanya ama ulifanya yamemtoa ktk imani jui yako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kutoka mwanzoni iko vile cijafanya issue yoyote ya kuni suspect some time nikiwa citaki anisumbue kwa simu simu zote na muachia home am transparent towards her sina mambo ya kandokando na siependi yata nipotezea mda zaidi
 
Madam let's honour other pple's freedom of expression plz.....tusipagiane vya kuleta hapa hatufanani wala hatutafanina just respect my view and expression plz I wll do the same to you.
[emoji23][emoji23] mbona una hasira umeleta jambo unataka tuandike kilichoko kichwani wakati tumetofautiana wewe una depression plus stress na mkeo ana matatizo ya akili ndio maana mnashindwa ku match
 
Hahaha hapana bhana,wengin tunapenda hizo,fikiria wamekaa miaka 11 lakini bado mke anampenda jamaa na mapenzi kama ya uchumba,hiyo ni bahati kwakweli.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Yaan hili hajaliona. Wanasemaga ktk ndoa mukishavuka 7 years baasi. Kuachana ni ngumu kidogo. Huyu 11 yrs anafanya masikhara. Yaan sijaona kbs tatizo la mke

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Watu mna bahati Duniani humu....


Mimi tofauti na mom yangu mzazi na the only sister I have inaweza kupita mwezi Bila kupigiwa simu na mtu... Mimi ndo hupigia watu kuwajulia hali but wao hawanipigii.


Natamani ningepata mke Kama wako aisee
Daah, nimejisikia vibaya. Lets exchange contacts nshomile. I will be saying hello.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Aise, ningepewa mimi huyo... Wengine tunapigwa na vitu vizito kichwani kila siku aaahhh [emoji45][emoji45][emoji45]
 
Kutoka mwanzoni iko vile cijafanya issue yoyote ya kuni suspect some time nikiwa citaki anisumbue kwa simu simu zote na muachia home am transparent towards her sina mambo ya kandokando na siependi yata nipotezea mda zaidi
Tenga muda mukaongelee mbali zaidi. Yeye anakuona wewe ndo kila kitu kwake. Usija fanya akarudisha upendo wako kwa nduguze. Utaumia. Utakua last option

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 

Fortunately ur age is 40+
 

Kama vip zima simu
Ukifika kazin
Na ukitoka zulula had saa5 rudi home
 
Huyu wake ana shida bana imagine mtu katoka kazini kavurugwa anapumzika na kamwambia yeye anagonga tu kisa anahisi kafa na hapo ukute alikuwa ana mwambia amwache atulie yeye hasikii, saa ingine kuwa na mpenzi asiye soma alama za nyakati inakuwa ina bore, wangu huwa yuko busy anachoka mwanzo nilikuwa namsumbua ila nikaja mwelewa nikawa Nampa space apumzike.
 
Kwahiyo alitegemea maiti ndo ifungue mlango? ni fujo nakutaka attention yangu.......paka nafikia hatua ya kumtuma kununua vitu mbali in town kwasabb najua kuna foreni atachelewa ili nipate mda wakupumzika peke yangu, anakata kuendesha gari eti liseni ya ydereva imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…