Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazidi kumvuruga. Kisaikolojia ukishampa muhanga uhakika kama huu basi ndo atashikilia hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hata mm nataka mume wangu aniendeshee[emoji23][emoji23] anataka kudeka
Hebu mdekeze bana. Navyopenda mimi kudekaa[emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka lkn naogopa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Siku atakayoacha kufanya hayo mambo unayodai yanakukera utarudi tena hapa kuomba ushauri.
 
Kazi za kufanya nizitoe wapi zaidi ya kupika na kupakua ana dip ila hataki kwaajiriwa anasema ameridhika kuka home
Nadhani hiyo hali inatokea kwasababu yupo idle na hana majukumu zaidi ya kifamilia. Nadhani kwa mahaba fungua biashara ili yeye awe anakuwa busy nayo na watoto itasaidia kumfanya kichwa chake kiwe occupied na majukumu zaidi na atapunguza obsession na wewe.
 
Yaani wewe jijengee kisaikolojia akikulalia Tu piga mbo..lo, kila akikulalia unasikia

Hata kama amechoka vipi nawewe deka ndo hujiwezi kuacha akikugusa Tu

Akijua nikigusa Tu ninacho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lkn ataanza taratibu kuacha mpak ataancha, akiacha utamisi mpaka utatamani tena aanze
 
Naona wajumbe wa hili balaza wengi wenu hamjamuelewa vema mleta uzi.

Si kwamba yeye hafahamu kuwa mkewe ana mapenzi na yeye au si kwamba yeye hapendi kupewa attention na mkewe ila swala linakuja ni kuwa huyu mkewe ana ile hali ya kiakili inaitwa Obsession.

Yaani inakuwa in excessive au too much attention kiasi kwamba huyu mwanamke anafanya akili yake kufocus na mwanaume wake kwa 99% muda wote.

Mwanamke akiwa hivi anaweza hata kuamka usiku akabakia anakukodolea macho anakuangalia kama picha kuku observe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara nyingi ukiwa mbali anakuwa na wenge kuwa labda utaibiwa na ndipo hapo simu zinapigwa kwa mfululizo sababu wewe ni object yake ya focus.

Sasa mbaya zaidi unaweza kuta hata unapokuwa ndani nyumbani , anashindwa kufocus na mambo mengine na hataki wewe ufocus na chochote uwe unamtazama yeye tu kama yeye anavyokutazama.

Ni kitu kizuri ukijua kucheza nae kwa akili yake hiyo hiyo ila ni kitu kibaya ukimuona ni tatizo.

Wanawake wa namna hii ili kuwamudu unatakiwa kumuweka sawa kwa kumshirikisha katika ratiba zako. Mfano kama mk e wa mleta mada anaonekana yupo idle home. So jamaa anatakiwa afungue biashara ndogo na aanze kumfunza mkewe kusimamia hiyo biashara ili ikue.

Ukikaa nae ndani tenga muda hata masaa mawili au hata matatu ya kukaa nae mkifuatilia story za umbea maana mara nyingi wanawake wa hivi ukimwambia lete story anakuwa hana la kusema atakwambia mmmmmmhmn me sina story niambie wewe. So katika umbea mle atakuwa anaenjoy ile moment ya kuongea na wewe na kuona umemleta karibu. Kisha mkumbushe majukumu yake mengine ya ndani na wewe ujifanye kuna kitu unataka kufanya kwa muda huo. Akizoea hizi routine atajua namna ya kuishi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…