miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unazidi kumvuruga. Kisaikolojia ukishampa muhanga uhakika kama huu basi ndo atashikilia hapoHuyu wake ana shida bana imagine mtu katoka kazini kavurugwa anapumzika na kamwambia yeye anagonga tu kisa anahisi kafa na hapo ukute alikuwa ana mwambia amwache atulie yeye hasikii, saa ingine kuwa na mpenzi asiye soma alama za nyakati inakuwa ina bore, wangu huwa yuko busy anachoka mwanzo nilikuwa namsumbua ila nikaja mwelewa nikawa Nampa space apumzike.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app