Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

piga goli la Nape mbele yake.
 
Hapana Wacha leo alale ila kesho huyu Mimi kwa wazazi wake naenda kuwachana live huu ungese wake anaoniletea
Umechelewa sana kuchukua uamuzi lakini it's better late than never.
Umeruhusu mpaka kudharauliwa kwa kiwango hicho, ni vizuri hasa kwa mental health yako ukimuacha japo hapo alipofikia wala haitamuuma. Kitu pekee kitakachofanya ajutie kuachana na wewe ni kama atapigika kimaisha, hilo tu kwani heshima na mapenzi kwako hana kabisa.
 
Hapo tu uliposema "mama ,Naomba haki yangu basi Leo". hata ingekuwa Mimi mke wako sikupi. What a poor approach. Shaaa!. Style up banaa.
 
Maagizo unayotoa yasipofuatwa utachukua hatua gani?
 
Mkuu to*mba nje ukirudi home uko fresh unaulizia msosi tu. Mwenyewe atanyooka
 
Kumuita tu mkeo “Mwanangu” inatosha kusema kwamba hampo serious hata kidogo
 
Hapo ndipo wanaume tunakosea, usijifanye gentleman ukalala kwenye kochi.

Mwache alale yeye kwenye kochi kesho atapata akili
Inabidi alete mwanamke mwingine ndani humo humo....

Ukiwa huna pesa lazima mwanamke akudharau pia ukiwa humfikishi kileleni..

Pia labda unalewa yeye hapendi/ haujifanyii usafi wa mwili sababu ni nyingi Sanaa

Huyu jamaa inabidi atupe ukweli chanzo Cha yote yaliyo tokea ni Nini 🏃 🏃
 
Ndoa ina mambo mengi kaka acha tu
 
🤣🤣🤣 hiyo miuno sasa hahahahahahah aki nmecheka
 
Hapana Wacha leo alale ila kesho huyu Mimi kwa wazazi wake naenda kuwachana live huu ungese wake anaoniletea
Ukienda kumsemea unaonesha udhaifu mkubwa hapo ilikua inatakiwa unapuga tukio yeye ndio akaseme, mwanaume mzima ati unaenda kumsemea MWANAMKE we fala sana ndio maana anakuendesha. Yani umeshindwa kumtomber kwa nguvu ?!! Nina mambo mengi ya kusema mpaka nashindwa kuandika. Mara nyingine wanawake wanakutikisa wanataka waone utafanya nini, aaah kumamaeee nashindwa kuandika, we jamaa ni falaaa sana
 
Lakn ukweli ni kwamba zpo sababu nying za mwanamke kumnyima mwanaume tendo la ndoa, wanaume wengine wanataka kila siku yaaan yy hachoki kla siku anafanya kama ni chakula akikosa atakufa.

Wanaume wengne ni wachafu, hawajiweki katka hali ya usafi nayo hiyo nichangamoto unajikuta unakinai.

Na pia muda mwingine jamani kuna kuchoka unaingia kazin alfajir na usku kucha mwanaume anakuto*mb, ukienda kazini umechoooka hata unashindwa kufanya kazi. Jaman tuwe na kiasi na ujue mkeo si robot.

Mengineyo: lkn jaman unaombaje hivyo ati "mama naomba haki yangu ya ndoa" asee! Sijawah ombwa na siku nikiombwa hivyo aki nitacheka ni kama unafanya mchezo, kuna mazingira tu yanawekwa mkeo mwenyewe anaelewa nn anatakiwa afanye. Hiyo kuombana hapana sijaipenda hata mimi.....huyo si mkeo unamjua vyema sasa kwann uombe kama uko sjui wapi jamani hii kwangu mpya....
 
Hivi kulala kwenye kochi ni adhabu?🤣🤣🤣
Hujakutana na pasua kichwa wewe, they dont care.
Ukiona mwanamke pasua kichwa unamuoa wa nini?
Kulala kwenye kochi a reflect, akishindw hilo arudi kwa baba yake aangqlie ustaarabu mwingine. .

umeolewa Demi , kweli utamvimbia bwana wako kwa kulala kwenye kochi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…