Mke wangu ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi

Anayo sababu, wanamla, Yani mwanamke kaumbwa na Mungu in such a way hawezi heshimu wanaume wawili

Mwa 3:16 SUV​

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Maelezo:

Haya maneno Yana maana sana, mwanamke akiwa na mchepuko na hisia kwake za kweli, tamaa yake itakuwa kwake naye atamtawala!

Akishatawaliwa tu na mchepuko, anakuwa lidudu la hovyo sana kwa mume wake, mke tamaa yake inapaswa kuwa kwa mwanaume na ni mechanism ya kutawaliwa!

That means, kama Hana tamaa kwako lazima ipo kwa mtu, na huyo ndo anamtawala, akiambiwa usilale na mumeo kabla yangu atatii!

Wewe ukililia ngono kwa mkeo maana yake tamaa yako Iko kwake na yeye anakutawala, na mwisho wa siku wote mnatawaliwa na mchepuko!

Sio wakati wa kubembeleza hawa watu, piga chini, nenda gym, ishi single, kula vizuri furahia maisha!
 
Unampanikisha mwenzio,😅😅😅 sema ni kweli hiyo mali inachakatwa nje
 
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.

Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:

Mimi: Mama, naomba haki yangu basi

Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema

Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani

Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”

Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu

Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)

Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu

Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Sasa sisi tufanyeje?
 
Anayo sababu, wanamla, Yani mwanamke kaumbwa na Mungu in such a way hawezi heshimu wanaume wawili

Mwa 3:16 SUV​

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Maelezo:

Haya maneno Yana maana sana, mwanamke akiwa na mchepuko na hisia kwake za kweli, tamaa yake itakuwa kwake naye atamtawala!

Akishatawaliwa tu na mchepuko, anakuwa lidudu la hovyo sana kwa mume wake, mke tamaa yake inapaswa kuwa kwa mwanaume na ni mechanism ya kutawaliwa!

That means, kama Hana tamaa kwako lazima ipo kwa mtu, na huyo ndo anamtawala, akiambiwa usilale na mumeo kabla yangu atatii!

Wewe ukililia ngono kwa mkeo maana yake tamaa yako Iko kwake na yeye anakutawala, na mwisho wa siku wote mnatawaliwa na mchepuko!

Sio wakati wa kubembeleza hawa watu, piga chini, nenda gym, ishi single, kula vizuri furahia maisha!
Acha usenge yaani aishi single kwaajili ya kunyimwa kishimo na takataka moja waliojuliana ukubwani??
Pote umenikosha lakini ulipoweka aishi single ndipo umenikwaza mkuu@uttoh2002 afukuze hiyo mbwa na aache mazoea ya kik*ma hakuna kuhudumia taka taka inayojikweza kama kapata mwanaume mwingine kwanini wasiishi wote huko huko kuliko kumuegemea mwamba??
Yaani maisha yenyewe magumu hivi halafu unafuga malaya anaekubania kitobo how come?
 
Mzee, Dunia ngumu hii!
 
Mbona papa zimeajaa sana mkuu, wanatembea nazo wengi sana kuanzia mtaani kwako hadi kazini kwako.

Akikaa na papa yake u have plenty of options, tena ukipiga unakuja home kimya, kula, lala usingizi wa pono. Do it for a month or so, asipojirudi hakika atakuwa anawekwa nje.
 
Mzee, Dunia ngumu hii!
Shida ni pale tuna-hand ile preedator instinct to the prey lazima iwe ngumu tu..
I am a preedator and no one should prey on me, never.
Binti akija kwenye mahusiano yangu naishi nae ile sogea tukae maana sikumkuta bikra so kuna mtu na watu kibao wamepita hapo so asitake kukuaminisha kuwa ni guilty sana kuwashinda wale waliotangulia..
Siwezi kuwa guilty zaidi ya yule aliemtoa utepe au yule aliemzalisha.
So life ni kanuni ziapply na ubaki constant.
 
Dodo punguza kingereza, hukijui
 
Wachangiaji Kuna Matatizo Ya Kiafya Msiyasahau Je Huyo Bibie Ana Pata Nyegezi? Homoni Zake Zimo Sawa? Hana Shida Za Kiroho? 1+1= Linaweza kuwa Na Majibu Zaidi Ya Mawili.
 
Kataa ndoa 3-0 walioa.

Wewe ni SIMP(very Weak man) mwanamke hawezi kukubali kumpa tunda mjinga mjinga mmoja. Inshort huyo demu kashakuzarau. Na kuna muhuni anamchakata🤗.

Umeonyesha kuwa unamuhitaji sana( Your soo f*ckn desperate) na yeye ameprove huna ubavu wa kuvuta chombo safi kumzidi achilia mbali kuwa tu na mwanamke mwingine.

Bado hujasema! Tafuta FINANACIAL FREEDOM uwe unajipigia demu yoyote unayetaka acha kuombaomba NGONO unajidhalilisha.Huo muda na hasira wekeza kwenye kutafuta hela ukizipata SHENYENTA kwelikweli hao viumbe mpaka uchoke utubu.

TAFUTA HELA!!! TAFUTA HELA!!

#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
Wengi mmeingia kwenye ndoa mkiwa bado hamjakomaa akili.

Yaani bado hamuwafahamu wanawake ni watu wa aina gani.

Hapo sasa ngoja nikuambie, kinachoendelea hapo kwenye ndoa yako ni kwamba mkeo anataka kukuendesha tu kwa vyovyote na wewe hujui hili suala.

Ngoja ataanza kukuendesha kwenye vitu vingine pia; siku akikuzidi hela na wewe utakapokuwa umepata tatizo la kazi ndio utalala njaa. Yani yeye tamaa yake ipo kwenye kukuendesha tu.

Nakushauri ishi na mkeo kwa akili sana japo sio wanawake wote wapo hivyo.

Na nyie ambao bado hamjaoa, angalieni na chunguzeni tabia za mnaoenda kuwaoa ni wanawake positive au ni negative ili kuepukana na mambo kama haya yasiyo na msingi. Mkipata mwanamke positive huwezi kukuta mambo yoyote ya ajabu na matukio ya visa
Nyoka ni nyoka tu awe wa bluu,kijani au mweusi. Chamsingi kwenye kikao tulikubaliana nyoka ukitaka kumuua PIGA RUNGU LA KICHWANI🤗

#Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
Back
Top Bottom