Njoo nikupe ni wiki sasa hujalaPole sana mkuu, hakuna kitu kinauma kama unaiona Ile pale afu hupewi 😔😔😔😔
Anyway, Sasa babaake ukamuambie nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikupe ni wiki sasa hujalaPole sana mkuu, hakuna kitu kinauma kama unaiona Ile pale afu hupewi 😔😔😔😔
Anyway, Sasa babaake ukamuambie nini??
Nawahi chap,😘😋😋😋Njoo nikupe ni wiki sasa hujala
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nawahi chap,😘😋😋😋
Unampanikisha mwenzio,😅😅😅 sema ni kweli hiyo mali inachakatwa njeAnayo sababu, wanamla, Yani mwanamke kaumbwa na Mungu in such a way hawezi heshimu wanaume wawili
Mwa 3:16 SUV
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Maelezo:
Haya maneno Yana maana sana, mwanamke akiwa na mchepuko na hisia kwake za kweli, tamaa yake itakuwa kwake naye atamtawala!
Akishatawaliwa tu na mchepuko, anakuwa lidudu la hovyo sana kwa mume wake, mke tamaa yake inapaswa kuwa kwa mwanaume na ni mechanism ya kutawaliwa!
That means, kama Hana tamaa kwako lazima ipo kwa mtu, na huyo ndo anamtawala, akiambiwa usilale na mumeo kabla yangu atatii!
Wewe ukililia ngono kwa mkeo maana yake tamaa yako Iko kwake na yeye anakutawala, na mwisho wa siku wote mnatawaliwa na mchepuko!
Sio wakati wa kubembeleza hawa watu, piga chini, nenda gym, ishi single, kula vizuri furahia maisha!
Sasa sisi tufanyeje?Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.
Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:
Mimi: Mama, naomba haki yangu basi
Wife: Kwanza tengua kauli yako ya juzi uliyosema
Mimi: Kimya kinanitawala mawazo yanachukua nafasi kichwani mwangu palepale hisia za mahaba zinanitoka na kuona sasa huyu mwanamke kuna kitu kinamtia kiburi kwa hasira naamua kuropoka oya mama mtu mimi naona nikamwambie babaako hili unalonifanyia tuone mzee wako atachukua uamuzi gani
Wife: Anacheka kwa dharau halafu kanasema “wewe mara ya mwisho si ulisema utatoka nje ya ndoa? Sasa babaangu ukamwambie wa nini?”
Mimi: Hasira zinanijaa namwambia oya mimi nimekuchoka mwanangu, kama vipi tuachane tu kwasababu haiwezekani nakuomba haki yangu halafu wewe unachukulia poa tu
Wife: Ananiangalia usoni kama sekunde 30 halafu anasema bila ya maandishi toa karatasi (talaka) niende nayo nyumbani (tena kwa kujiamani kabisa)
Mimi: Moyoni gadhabu Inanijia kitanda chote cha moto naamua Bora nishuke nikalale kwenye kochi maana kuendelea kulala naye kitanda kimoja naona itakuwa ni hatari kwa afya yake maana naweza nikampa kipondo heavy alafu kesho anipe shida kwenye matibabu
Waungwana mpaka hapo nyie mnaonaje huyu shemeji yenu, kuna usalama kwenye hii ndoa yenye mwaka mmoja na miezi 10??
Unampanikisha mwenzio,😅😅😅 sema ni kweli hiyo mali inachakatwa nje
Acha usenge yaani aishi single kwaajili ya kunyimwa kishimo na takataka moja waliojuliana ukubwani??Anayo sababu, wanamla, Yani mwanamke kaumbwa na Mungu in such a way hawezi heshimu wanaume wawili
Mwa 3:16 SUV
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Maelezo:
Haya maneno Yana maana sana, mwanamke akiwa na mchepuko na hisia kwake za kweli, tamaa yake itakuwa kwake naye atamtawala!
Akishatawaliwa tu na mchepuko, anakuwa lidudu la hovyo sana kwa mume wake, mke tamaa yake inapaswa kuwa kwa mwanaume na ni mechanism ya kutawaliwa!
That means, kama Hana tamaa kwako lazima ipo kwa mtu, na huyo ndo anamtawala, akiambiwa usilale na mumeo kabla yangu atatii!
Wewe ukililia ngono kwa mkeo maana yake tamaa yako Iko kwake na yeye anakutawala, na mwisho wa siku wote mnatawaliwa na mchepuko!
Sio wakati wa kubembeleza hawa watu, piga chini, nenda gym, ishi single, kula vizuri furahia maisha!
Acha usenge yaani aishi single kwaajili ya kunyimwa kishimo na takataka moja waliojuliana ukubwani??
Pote umenikosha lakini ulipoweka aishi single ndipo umenikwaza mkuu@uttoh2002 afukuze hiyo mbwa na aache mazoea ya kik*ma hakuna kuhudumia taka taka inayojikweza kama kapata mwanaume mwingine kwanini wasiishi wote huko huko kuliko kumuegemea mwamba??
Yaani maisha yenyewe magumu hivi halafu unafuga malaya anaekubania kitobo how come?
Shida ni pale tuna-hand ile preedator instinct to the prey lazima iwe ngumu tu..Mzee, Dunia ngumu hii!
Kwani huyo wa pili anahitaji kipato cha nini?Kipato hakiruhisu kuwa na wawili
Shida ni pale tuna-hand ile preedator instinct to the prey lazima iwe ngumu tu..
I am a preedator and no one should prey on me, never.
Binti akija kwenye mahusiano yangu naishi nae ile sogea tukae maana sikumkuta bikra so kuna mtu na watu kibao wamepita hapo so asitake kukuaminisha kuwa ni guilty sana kuwashinda wale waliotangulia..
Siwezi kuwa guilty zaidi ya yule aliemtoa utepe au yule aliemzalisha.
So life ni kanuni ziapply na ubaki constant.
Nyoka ni nyoka tu awe wa bluu,kijani au mweusi. Chamsingi kwenye kikao tulikubaliana nyoka ukitaka kumuua PIGA RUNGU LA KICHWANI🤗Wengi mmeingia kwenye ndoa mkiwa bado hamjakomaa akili.
Yaani bado hamuwafahamu wanawake ni watu wa aina gani.
Hapo sasa ngoja nikuambie, kinachoendelea hapo kwenye ndoa yako ni kwamba mkeo anataka kukuendesha tu kwa vyovyote na wewe hujui hili suala.
Ngoja ataanza kukuendesha kwenye vitu vingine pia; siku akikuzidi hela na wewe utakapokuwa umepata tatizo la kazi ndio utalala njaa. Yani yeye tamaa yake ipo kwenye kukuendesha tu.
Nakushauri ishi na mkeo kwa akili sana japo sio wanawake wote wapo hivyo.
Na nyie ambao bado hamjaoa, angalieni na chunguzeni tabia za mnaoenda kuwaoa ni wanawake positive au ni negative ili kuepukana na mambo kama haya yasiyo na msingi. Mkipata mwanamke positive huwezi kukuta mambo yoyote ya ajabu na matukio ya visa
Huwezi kusema hivyo dogo kingereza nakijua vizuri manDodo punguza kingereza, hukijui
Huwezi kusema hivyo dogo kingereza nakijua vizuri man
Kuwa romantic tu, sasa ukitaka unyumba unaomba kama unaomba maji ya kunywa si uwe mtundu ndani hata bila kuongea? Yaweza kuwa kachoka kubakwaKipato hakiruhisu kuwa na wawili