NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Basi atakuwa ni zile type za wanawake wa kiswahili. Hana Adabu wala Akili wala maadili .Kwa sasa yuko na miaka 25
Unapokuwa kwenye kumi na nane hakikisha unampa dozi ya uhakika, hiyo ndio tiba
Basi atakuwa ni zile type za wanawake wa kiswahili. Hana Adabu wala Akili wala maadili .
Akiwa na kasura kazuri anajiona kila kitu.
Nina hakika hajafika elimu ya chuo huyu.
Hapana yeye ndio anakosa hata katika kikao aliambiwa na kuanuriwa arudi nyumbani
Wewe mpige vishoka instagram, acha kulialiaHabari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana nae akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema kitu anakijia juu
ImmatureKwa sasa yuko na miaka 25
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahNakushauri kabla ya kuchanganya lugha hebu kwanza tazama mwandiko wa mleta mada. Huyu si wa kuandikia kimalkia
Sasa mkuu mtu kaandika Kiswahili kimakosa ukisoma tiyari unajua atakuwa kundi gani. Ukimwandikia kimombo hatoelewa na hautomsaidia[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
Kama ndio hvyo bas jua tatzo alianza kulitengeneza mwenyewe kwa kuruhus huyo kiumbe aingiloe ndoa yakeNa vipi huyu jini ulishaachana naye?
Penzi la jini linaifanya ndoa yangu kuyumba
Habari wakuu. Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa. Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka nilipomuowa zowezi hili lilikua kama kwa muda wa week 1 mfululizo niliinjoi sana licha ya kua na...www.jamiiforums.com
Kwani wanawake wakichepuka huchepuka na wanawake wenzao au sijaelewa?Wengine wanatumika sana nje Kwa michepuko wakirudi ndani kwa wake zao nguvu hawana huenda michepuko inawaroga !
Mwanaume anapochepuka anamu- expose mkewe kwenye risk kubwa sana.
Huu mtindo wanao wanawake wengi, ukizinguana nae utaipata status.. Dawa ni kufuta namba asiwe anaona hadi pale atapokubaliana na ukweli
Mume zuzu.Habari wenzangu.
Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana
Mwanamke wa wapi huyo anachepuka na kuleta pesa ndani ya ndoa ?? Sana sana ataleta dharauWengine wanatumika sana nje Kwa michepuko wakirudi ndani kwa wake zao nguvu hawana huenda michepuko inawaroga !
Mwanaume anapochepuka anamu- expose mkewe kwenye risk kubwa sana.
I
Kuna mambo mawili, la kwanza huenda hauko sawa kiuchumi na pili humpelekei moto kama inavyotakiwa. Kwa lolote kati ya haya lazima kwa wanawake hawa wa smartphone wakudhalilishe.kaka nishasema ila tatizo anaonekana kua na misimamo ya kutojali