Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Kwa hiyo na wewe unaamini?😂😂😂😂😂😂Kaka anakwambia asowataka tu anaowaelewa hakusimulii.....Ila unadanganyika kirahisi na wewe!
 
Anakupanga ili usimwache uzidishe penzi wewe jiongeze hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho duniani hapa.
 
Bikira wanapatikana wapi mkuu?mi legend nataka kuoa tena baada ya ndoa yangu yangu ya kwanza kuyeyuka
Pole sana ndugu kwa hapo una kibarua kizito maana kizazi hiki hakijitambui
Wao kugawa gawa ni kawaida ila wapo ndugu yangu Mungu atakusaidia
 
Kwa hiyo na wewe unaamini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka anakwambia asowataka tu anaowaelewa hakusimulii.....Ila unadanganyika kirahisi na wewe!
Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikra

Mwanamke unaona fahari kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja umekosa nini kwa huyo uliye nae?
 
Mkuu,kwahiyo unaamini kwamba mkeo yuko tayari achapwe na fimbo moja tu mpaka kifo chake?.

Kwamba hlimkuta bikra na atadumu kuwa na experience ya fimbo yako daima?.Unajidanganya mkuu.
Atoke aende wapi?
Unapofeli huulizi kwanini namuamini
 
Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikra

Mwanamke unaona fahari kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja umekosa nini kwa huyo uliye nae?
Acha makasiriko mzee🤣🤣🤣Mimi nikidanga wewe unapungukiwa nini kwani?Haya,we mwenzangu ulioa bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…