Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Mke wangu ananisimulia akitongozwa

Kwa hiyo na wewe unaamini?😂😂😂😂😂😂Kaka anakwambia asowataka tu anaowaelewa hakusimulii.....Ila unadanganyika kirahisi na wewe!
 
Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.

Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.

Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!

Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!

Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi

Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.

Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.

Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.

CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!

SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Anakupanga ili usimwache uzidishe penzi wewe jiongeze hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho duniani hapa.
 
Bikira wanapatikana wapi mkuu?mi legend nataka kuoa tena baada ya ndoa yangu yangu ya kwanza kuyeyuka
Pole sana ndugu kwa hapo una kibarua kizito maana kizazi hiki hakijitambui
Wao kugawa gawa ni kawaida ila wapo ndugu yangu Mungu atakusaidia
 
Kwa hiyo na wewe unaamini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka anakwambia asowataka tu anaowaelewa hakusimulii.....Ila unadanganyika kirahisi na wewe!
Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikra

Mwanamke unaona fahari kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja umekosa nini kwa huyo uliye nae?
 
Mkuu,kwahiyo unaamini kwamba mkeo yuko tayari achapwe na fimbo moja tu mpaka kifo chake?.

Kwamba hlimkuta bikra na atadumu kuwa na experience ya fimbo yako daima?.Unajidanganya mkuu.
Atoke aende wapi?
Unapofeli huulizi kwanini namuamini
 
Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikra

Mwanamke unaona fahari kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja umekosa nini kwa huyo uliye nae?
Acha makasiriko mzee🤣🤣🤣Mimi nikidanga wewe unapungukiwa nini kwani?Haya,we mwenzangu ulioa bikra?
 
Back
Top Bottom