NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Huyu bado kinda sana ...hajui hizi mamboHapo uliposema kuhusu bikira umeonesha ulivyo bado junior kweny hz ishu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bado kinda sana ...hajui hizi mamboHapo uliposema kuhusu bikira umeonesha ulivyo bado junior kweny hz ishu
Hata mm nimeliona best. ... tuendelee tu kumuombea yasimkuteHuyu jamaa yetu,siku ikitokea akagundua kuwa mkewe anagongwa na Wahuni fulani ataweza kunywa sumu au kujinyonga maana amemuamini Sana mkewe.
Kabisaaa,ni suala la muda,lkn MUNGU amsaidie yasitokee hayo.Hatumuombei mabaya.Hata mm nimeliona best. ... tuendelee tu kumuombea yasimkute
Muda ni kila kitu.. Mungu amsaidieKabisaaa,ni suala la muda,lkn MUNGU amsaidie yasitokee hayo.Hatumuombei mabaya.
Hahahah mnatafunwa kimya kimya tu 😅 wala mume hajuiWanaotuvutia huwa hatusimulii, inabaki kuwa siri.
Hahahah kwahio tumekubaliana ambao mnawapenda hamsemi!Hata mm nimeliona best. ... tuendelee tu kumuombea yasimkute
Anakupanga ili usimwache uzidishe penzi wewe jiongeze hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho duniani hapa.Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Ndiyo hivyoMuda ni kila kitu.. Mungu amsaidie
Naanzaje kusema kwa mfano ..hahahahaha...sasa nitasema wangapi maana wako wengi wanaotongoza ..ni mtu ajue tu kusema no au yesHahahah kwahio tumekubaliana ambao mnawapenda hamsemi!
Wacha nije kujaribu bahat yangu😅Naanzaje kusema kwa mfano ..hahahahaha...sasa nitasema wangapi maana wako wengi wanaotongoza ..ni mtu ajue tu kusema no au yes
Hapana jamani, sie wanawake ni waaminifu sanaaaaaa.Hahahah mnatafunwa kimya kimya tu [emoji28] wala mume hajui
Uwiiii kwamba ujaribu kutongoza au? Inaweza kuwa yes..jaribu tu..who knowsWacha nije kujaribu bahat yangu😅
Pole sana ndugu kwa hapo una kibarua kizito maana kizazi hiki hakijitambuiBikira wanapatikana wapi mkuu?mi legend nataka kuoa tena baada ya ndoa yangu yangu ya kwanza kuyeyuka
Wewe ni ke au me kama me kwanini uwazungumzie wenzio?Anakupanga ili usimwache uzidishe penzi wewe jiongeze hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho duniani hapa.
Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikraKwa hiyo na wewe unaamini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka anakwambia asowataka tu anaowaelewa hakusimulii.....Ila unadanganyika kirahisi na wewe!
Unatia huruma wewe unaeishi hata unaekaa nae humuaminiDah unatia huruma,nikushauri endelea kusimamia Iman yako
Atoke aende wapi?Mkuu,kwahiyo unaamini kwamba mkeo yuko tayari achapwe na fimbo moja tu mpaka kifo chake?.
Kwamba hlimkuta bikra na atadumu kuwa na experience ya fimbo yako daima?.Unajidanganya mkuu.
Acha makasiriko mzee🤣🤣🤣Mimi nikidanga wewe unapungukiwa nini kwani?Haya,we mwenzangu ulioa bikra?Wewe nahisi ndio wale wale wadangaji na kama una ndoa basi uliolewa bila bikra
Mwanamke unaona fahari kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja umekosa nini kwa huyo uliye nae?