othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Mtihani kweli ndugu yangu, zamani akiandaa chakula mezani alikuwa akinikaribisha sasa hivi akiandaa msosi wakati mimi nazuga na simu yangu nikisubili anikaribishe naona mwenzangu anaendelea tu kula mpka najiongeza mwenyewe kwenye meza.Huo ni mtihani migumu sana kwenye maisha haya Kimsingi we potezea na Wala usihoji tena hio itakusaidia kuepusha migogoro Kwa kudhania tuu
Keshakubali, kuleni wote.Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.
Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.
Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Mhh mapigo huwa yanaenda kwa kasi hasa linapomfungulia mlango utasema mke wake vile *****...Usalama upo 100% Mkuu Osumani mambo ya ujirani mwema tu hayo
Dah nifanyeje sijuiKeshakubali, kuleni wote.
Daaah othman mzee wa matreni, kipindi flani uliniweka mjini na yale matreni yako mzeeIpo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi.
Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka stand ya daladala na hali hii ni endelevu.
Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama. Vp hapa kuna usalama kweli na wife naona kama kuna kadharau kameanza tangu awe anapanda hizi lift.
Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali
Kama wapo serious Sana achana nao mkuuMhh mapigo huwa yanaenda kwa kasi hasa linapomfungulia mlango utasema mke wake vile *****...
Kwa hiyo niliachie bazazi my wife wangu? I still love her though.Kama wapo serious Sana achana nao mkuu
Nitarudi tena kaka mjini si unaona kama hivyo tena wenye ndinga wana tutesaDaaah othman mzee wa matreni, kipindi flani uliniweka mjini na yale matreni yako mzee
Hela natafuta lakini ndio hivyo hazitoshi kununulia ndinga mkuu.Watakuja wa kukwambia tafuta hela ili upunguze unyonge.
tatizo umesema wife wako ana makebo! kaka hapo ushachapiwaMhh mapigo huwa yanaenda kwa kasi hasa linapomfungulia mlango utasema mke wake vile *****...
Kwani mke kuwa na.makebo dhambi mkuu?tatizo umesema wife wako ana makebo! kaka hapo ushachapiwa
We jenga imagination tu kichwani msambwanda wa kwenda sio wa ku boost"Wife ana msambwanda na tuna watoto ushauri wenu tafadhali"
Tunaomba picha ya msambwandra wa shemeji, tujue tunaanzia wapi kukusaidia.
Nimesema achana nao tu,Kwa hiyo niliachie bazazi my wife wangu? I still love her though.