antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Daah,Shemeji yenu nikimkanya hanielewi ananiona nina wivu anasema lift inamsaidia kuwahi kazini na.mchizi akiniona ananichangmkia kinyama.
Nimeshakaa nae mkuu lkn bado anapanda vanguardWanawake na magari huwezi watenganisha
Ndiyo maana binafsi nilianza kununua gari kabla sijajenga nyumba ya kuishi
Hii nilifanya makusudi ili kumfanya baby mama kuanza kuzoea magari na asiwe na ushamba nayo
Serikali ingeweza kupunguza gharama za ushuru na Kodi zao, Kila mtu angemudu kumiliki gari hivyo wake zetu wangepunguza kushobokea Wanaume wenye magari
Ushauri wangu, kaa na mkeo umweleze kuhusu jambo hilo, kama atakuwa msikivu atakuelewa
Wakati ukifika nitanunua tu kwa sasa kuna vimeo naviweka sawaDaah,
Mkuu, hapo suluhu ni kununua ndinga hata kwa mkopo afu ondoka hapo, hamia mbali, vinginevyo utapigiwa kama ngoma
Mke wako ni yupi asiyemwelewa na kumsikiliza mumeweNimeshakaa nae mkuu lkn bado anapanda vanguard
Thread ya namna hii si ya kwanza humu. Fuata miongozo.Yaani niachane ndio unamaanisha aunsio, sasa sababu ya kumuacha ndio mtihani kwa kuwa amegoma tu kuacha kupanda lift?
Tuna watoto pia ujue, lkn pia bado nampenda huyu mke wangu tumetoka mbali sana
Hii thred haifungukiThread ya namna hii si ya kwanza humu. Fuata miongozo.View attachment 3656626
Napambana mkuuHama hapo, ukajenge ata chumba kimoja ukae.
Niwaachie nini mkuuKwma vipi waachie ww tafta mwingine
Sidhani kama kuna hiyo nia njemaKama ana Nia njema huyo jiran kwann asiwape lift ww na mkeo amvizie mkeo tu
Hii thred haifunguki
Kwa sasa nakushauri uhame hapo, na umpe somo kali mkeo.Napambana mkuu
Atafute la shillings ngapi? Au hupendi mwenzako maana atajifunza ufundi magari bila kupenda na gharama za maisha zitapanda mara tatu.Kuna jamaa anaitwa Shobaa Magari. Mtafute uchukue hata gari la Milioni
Grow up Man.tuwekee picha ya makalio makubwa ya shemeji yetu tuone kama ni kweli..
Kwa usalama wa ndoa yako, kodi ikiisha hama hiyo nyumba nenda mitaa mingine kabisaMtihani kweli ndugu yangu, zamani akiandaa chakula mezani alikuwa akinikaribisha sasa hivi akiandaa msosi wakati mimi nazuga na simu yangu nikisubili anikaribishe naona mwenzangu anaendelea tu kula mpka najiongeza mwenyewe kwenye meza.
Sijui hili bazazi linalotoa lift kwa wife lishaanza kumpakuwa ama vp, sielewi kabisa yaani.