kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Nipe jina lake la fb ninshauriSijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mpeleke kwao, akafundwe upyaSijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Sijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mkuu Hapo kwako NI Stand,Amesubiri TU Siku apate Mwanaume wa Ndoto zake Akuache.Sijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?