iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Mkeo ni kizazi cha Gen Z au Beta (2000's)? Kama yuko hili group basi huna mke hapo una mdada limbukeni wa maisha ya kisasa.Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?