Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mkeo ni kizazi cha Gen Z au Beta (2000's)? Kama yuko hili group basi huna mke hapo una mdada limbukeni wa maisha ya kisasa.
 
Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.

Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
Na matokeo ya kusifiwa hovyo mitandaoni wote tunayajua, she will be laid sooner or later.

Huenda jamaa aliliona hilo ila akapuuza, akijua wakiingia kwa ndoa huyo mke ataacha, tabia ni ngozi, haijifichi.
 
Mkeo ni kizazi cha Gen Z au Beta (2000's)? Kama yuko hili group basi huna mke hapo una mdada limbukeni wa maisha ya kisasa.
Unaweza kuwa sahihi, ni mara chache sana kuona wadada wa 80s kurudi nyuma wakijirusha mitandaoni. Hiki kizazi cha 90s na 2000s kina shida kwenye social network.
 
Pole sn, nimeumia sn. Lakini punguza kuonya kwa maneno. Kumbuka wahenga wakisema "Haja ya mja hunena muungwana ni vitendo"/ "Vitendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno".

Shida pia inaonekana mkeo ni kitoto cha mwaka 2000. Hivi vinavurugu sn za homoni za mapenzi, muda wote vinawaza ngono.

NB
Kumbuka maneno ya wahenga hapo juu.
 
Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.

Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
Mkuu mumeo aki jiposti ig, tinder na nguo za ajabu, kwako ni poa kabisa?
 
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Ukiwa na mwanamke wa hivi inabidi uwe na moyo wa stone town kabisa maana kuchapiwa ni kugusa tu, hapo anafanya matangazo soko lipo wazi kaolewa kuficha aibu tu ila anaetaka kula hicho chakula anakula tu
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Ana vinasaba vya kikahaba.
 
Mkuu mumei aki jiposti ig, tinder na nguo za ajabu, kwako ni poa kabisa?

Haka ka ugonjwa kapo kwa wanawake, pia nimeongelea upande wa wanawake.

Mtoa mada hajasema mkewe anajipost akiwa na nguo za utupu. Na hapa kaongelea Instagram na facebook.

Inawezekana anajipost akiwa katika mavazi mazuri tu, yangekuwa mabaya angeongeza na wala nisingekuwa upande chanya.
 
Huyo kamstiri tu, ila mimi hapana aisee.

hizo fb, ig najua issue zao, Tena wanawake mki pewa compliment 2-3 basi.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mkuu samahan, kwenye hizo picha anazopost....kuna ambazo anageuzia makalio camera?
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?

Wewe Mkeo akikuambia uache kitu unachopenda kufanya utaacha?
 
Back
Top Bottom