Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
 
Sijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Nipe jina lake la fb ninshauri
 
Mpeleke kwao, akafundwe upya
 
Attachments

  • downloadfile-8.jpg
    downloadfile-8.jpg
    55 KB · Views: 1
Sijajua kama na nyie wenzangu wake zenu wana hii tabia kama ya mke wangu.yani huyu bibie bana anapenda kila tukio analohudhuria lazima alipost whatsapp,Instagram au Facebook,pia anapenda kujipiga picha kisha anajipost mitandaoni,nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni lkn naona habadiliki
Mfano asubuhi hii kaishatupia hii picha,najiuliza huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mkuu Hapo kwako NI Stand,Amesubiri TU Siku apate Mwanaume wa Ndoto zake Akuache.

KAMA MWANAMKE HAKUTII HAKUPENDI
 
Back
Top Bottom