Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Akikua ataachaSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hazimtoshi huyo akili kisoda kabisaSijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Anauza nyapu huyo
Usijali anaitangaza biashara yake..biashara ni matangazo.
Biashara matangazo
Gentleman,Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.
Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.
Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Mzee wetu hii mizigo ita kuja kuku uaπ€£πUlimkuta hivyo hivyo wakati unamtongoza mpaka kumchumbia. Hiyo ni red flag ambayo uliiona halafu ukaipuuzia labda kwa imani kwamba nikimuoa ataacha kujibinua mitandaoni. Kumbe red flags za kwenye uchumba huko kwenye ndoa ndiyo hudhihirika zaidi.
Kama hajibinui sana vumilia tu hakuna namna. Labda itafika mahali atakua na kuiacha hiyo tabia!
View attachment 3270896View attachment 3270899
Huo ni mzigo wa mleta mada mkuu (naona ame-edit na kuzifuta picha). Iweje uniue mimi usimuue yeye anayeubeba deile? π³Mzee wetu hii mizigo ita kuja kuku uaπ€£π
Kumbe ni wa mleta madam, Nika jua wako mzee πHuo ni mzigo wa mleta mada mkuu. Iweje uniue mimi usimuue yeye anayeubeba deile? π³
Mimi sina hela za kumiliki pisi kali kama hiyo. Tena inayojibinua mitandaoni? Nguo za kubadili kwenye kila photoshoot na madoido doido mengine nitazitoa wapi? Bagosha uwiiii! πKumbe ni wa mleta madam, Nika jua wako mzee π
Acha uchonganishi. Ni addiction tu za wadada na mitandao ya kijamii sawa wana JF wengi kuingia huku au GENTAMYCINE na kuanzisha uzi baada ya 5imba kukimbia mkono wa Nyani pale Lupaso.Anawarusha roho ma ex zake. Bado wanaishi moyoni mwake.
Biashara matangazo