Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Akikua ataacha
 
Ulimkuta hivyo hivyo wakati unamtongoza mpaka kumchumbia. Hiyo ni red flag ambayo uliiona halafu ukaipuuzia labda kwa imani kwamba nikimuoa ataacha kujibinua mitandaoni. Kumbe red flags za kwenye uchumba huko kwenye ndoa ndiyo hudhihirika zaidi.

Kama hajibinui sana vumilia tu hakuna namna. Labda itafika mahali atakua na kuiacha hiyo tabia!

Screenshot_20250315_084926_Facebook.jpg
20250315_091627.jpg
 
Kama umemnunulia wewe hiyo simu basi wewe ndiye chanzo cha tatizo,mwanamke wa nyumbani ni marufuku kumiliki smartphone. Wewe umemmilikisha matokeo ya uamuzi wako yamekushinda unakuja kulia jf. Sidhani hata nyapu yake kama unaipgaga ipasavyo.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Hazimtoshi huyo akili kisoda kabisa
 
Anaweza asiwe na lengo baya kabisa. Kuna baadhi wanapenda compliments, wakisifiwa wanahisi raha na furaha.

Hivyo inamfanya aendelee kupost ili aendelee kusifiwa.
 
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni.

Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki.

Mfano, asubuhi hii tayari ameshatupia picha nyingine. Najiuliza, huyu mtu zinamtosha kweli kichwani?
Gentleman,
ikiwa hana majukumu ya kutosha na ya kumkosesha muda wa kufanya hayo, ulitegemea afanye nini kwenye ulimwengu huu wa kidigitali?

mie nadhan tatizo lipo kwako gentleman? Na hiyo tabia maana yake anahitaji kuwajibishwa kifamilia kwa maana ya kupewa majukumu ya malezi mfululizo ili akose muda wa kufanya hayo ambayo kwakweli hayana maana kabisa.

Mpe ujauzito, kisha baada ya mwaka moja na robo mpatia mwingine wa pili na ikiwezekana watatu, na hapo utakua umetibu na kuponya tatizo hilo linalokukera kabisa, vinginevyo ni ngumu kumtoa kwenye huo uraibu 🐒
 
Ulimkuta hivyo hivyo wakati unamtongoza mpaka kumchumbia. Hiyo ni red flag ambayo uliiona halafu ukaipuuzia labda kwa imani kwamba nikimuoa ataacha kujibinua mitandaoni. Kumbe red flags za kwenye uchumba huko kwenye ndoa ndiyo hudhihirika zaidi.

Kama hajibinui sana vumilia tu hakuna namna. Labda itafika mahali atakua na kuiacha hiyo tabia!

View attachment 3270896View attachment 3270899
Mzee wetu hii mizigo ita kuja kuku ua🤣😁
 
Namjua huyo mkeo,na yeye anakushangaa unavyomkataza kujiposti!
 
We ulimkutaje si ajabu ulicomment kwenye moja ya posts zake, mwanamke mpenda attention mitandaoni sio rahisi kubadirika mkuu, unateanga maji kwenye ukitaraji yawe unga.
 
Back
Top Bottom