Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

Hskika tunatofautiana, binafsi nachukizwa na hiyo tabia. Kujipost kila saa kwa kila jambo hapana.
Mwanamke anatakiwa awe na stara....na stara ni kujihifadhi......sasa mwanamke anaweka mapicha mitandaoni anatafuta nini.....??

Na kwanini mwanamke akazanie kufanya linalomkera mumewe.....
 
Kitu ambacho hukijui ni kuwa mwanamke huendeshwa na hisia sio akili ndio maana aweza mpa ❤️ mpiga debe angali ameolewa na dereva wa gari

Jua ya kwamba tunaishinao tuuh
 
Pole sana jifunze kuwa na spear part yake na anza kutolidi nyumbani akikuuliza mwambie unamkbua mume wake wa mitandaon
 
Anamtumia mpenzi wake amuone ndiyo maana hakusikilizi wewe mume wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…