Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Wanawake wanajisahau sana mfanyie umfanyiavyo lakini chake ni chake...labda kidogo hawa wasio na elimu afu akakubali huwa wana utofauti.
 
Mkuu umesahau kuwa chako mwanaume ni cha familia ila cha mwanamke ni chake...jenga kwako ikibid tena bila yy kujua, na kama haitaleta mgogoro umiliki uwe wenu wote sio wew pekeako ili kumuondolea sumu inayofukuta ndani yake kwa manufaa ya watoto.
Yes mkuu! Wamiliki pamoja.
 
Naona umemalizia na pole sana Mkuu
 
daah wanawake bhana achana nao mimi ana kiwanja kiko sehemu nzuri ila sijawahi hata kukizungumziaa maana najua mwisho wa siku kitaumana tu
 
Huyo mwanamke mnamuonea bure Mimi naona yupo SAHIHI kwanza kiwanja ni chake hivyo ni haki yake

Pili hatujasikia upande wa mke labda jamaa nae kaanza michepuko

Mkeo yupo sawa dunia ya sasa kila mtu anaangalia maslahi yake hongera kwa kupata mke muelevu
 
Wasafirishe rudi na greenade inauzwa laki nunua mbili rushia ndani nyumba itasambaa au vunja kivyovyote vile aanze teseka nyumba ya kupanga ..mwanamke mpumbavu huvunja ndoa Yake kwa mikono yake
 
Mwenye kiwanja ndio mwenye nyumba
 
wote hamuaminiani

yeye anaona kama utaandika jina lako kuna siku utamgeuka abaki hana kitu

wewe pia unahisi atakugeuka

achana nae, aandike jina lake we jenga kwako
 
[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106]afuate huu ushauri
 
Unaandika jina la mtoto, kumbe hata sio wako....siku akikuropokea ndo utajua hujui.
Dalili za kugombea mali zikishaanza huwa haziishi vizuri.

Una watoto 3, utaandika yupi?, Huoni kuna uwezekano wa watoto kujenga chuki kwa wazazi kuwa hawapendwi ndio maana hawajaandikwa kwenye mali zao?
Hapa busara na Maombi yanahitajika
 
Sababu zinazomfanya mwanamke ahitaji ndoa hazifanani kabisa na za mwanaume.
 
Hapo hakuna kuandika jina la Mke wala jina la Watoto, jina linalotakiwa kuandikwa hapo ni jina la Mkuu wa Kaya tu,hakuna majadiliano hata Kama kiwanja ni chake!!
 
Sababu zinazomfanya mwanamke ahitaji ndoa hazifanani kabisa na za mwanaume.
Kweli, ni wanawake wachache wanaochukulia mume ni mwenza katika kujenga familia, wengi wanachukulia mume ni kama ajira fulani,
 
Mmeoana sasa, andikeni majina yenu yote mawili kwenye umiliki wa nyumba na kiwanja, akikataa hakuna haja ya kugombana ila mwambie waziwazi unaenda kujenga nyumba yako ambayo umiliki hautamuhusu.

Ila boss ukishaona mmefikia hapo hakuna ndoa hapo angalia utaratibu mwingine tuu na kisheria inaweza kuwa complicated ikaja kukupotezea muda mwingi bila sababu
 
Sasa hapo anawaza ukimwacha atadai wapi? Kwanini msiandike jina la mtoto
 
Hivi mwanamke mwenye mali na utajiri huwa wanafuata nini kwa Mwanaume?

Kwanini mwanamke tajiri naye huolewa?

Maana kama vile Kuna tatizo kwa mwanamke masikini akipata kitu kwenye mapenzi/mahusiano/ndoa.
 
Hivi mwanamke mwenye mali na utajiri huwa wanafuata nini kwa Mwanaume?

Kwanini mwanamke tajiri naye huolewa?

Maana kama vile Kuna tatizo kwa mwanamke masikini akipata kitu kwenye mapenzi/mahusiano/ndoa.
Mwanamke tajiri hana roho ya kimaskini, kinachosumbuwa hapo ni umaskini wa roho tu.

Kumbe hata wanawake huwa wanatangulia kufa pia na kumuacha mume na Watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…