Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Ni jambo zuri.hasa linamuweka.karibu na watoto

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Maelezo meengi yanatuchosha tu yangeandikwa kwa aya mbili. Kila mtu ana interest zake kama wewe unavyopenda pombe. Kwenye familia bana usichukie vitu anavyovipenda mwenzi wako kama havina madhara. Mfano kama anapenda mpira, tamthiliya, katuni. Hivyo ni vitu vya kuchangamsha akili.
 
Ninadhani wewe ndo una matatizo ya akili. Asipokutii kuhusu Katuni mpe talaka aje kwangu kwasababu mimi pia napenda katuni kwahiyo nitakuwa natazama naye.
 
Angalia kwanza umri wa mkeo yawezekana kipindi unamuoa ulimkomaza aliruka stage
 
Ni kawaida tu hata mimi pamoja na utu uzima wangu napenda sana kuangalia katuni..!
 
Binafsi huwa namshangaa sana mtu anaefurahia katuni,ingawa tangu nilikua nawaona watoto wenzangu wakizifurahia lakini sikuwahi kutaman hata kuona kwa dakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…