Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu


Maelezo meengi yanatuchosha tu yangeandikwa kwa aya mbili
Sawa mkuu Nimekuelewa, nitajirekebisha kwa hilo.


Kwenye familia bana usichukie vitu anavyovipenda mwenzi wako kama havina madhara
Sikua na nia mbaya mkuu, nilikua naomba ushauri tu hapa jukwaa pendwa, ndo maana members Mnatoa maoni, mimi au mwingine kama anakutana na hili naye Atajifunza pia. πŸ™
 
Kwa hiyo hilo nalo ni Tatizo..!? Naona mnatuchukulia poa hapa, kila Ujinga mnaleta hapa Jukwaaani.
 
Hivi karibuni baada ya kuwa nasoma sana mada za JF, nimeanza kuhisi kuwa uwezo wa watu kiakili kadiri siku zinavyoenda unapungua...

Sasa ukitafakari malalamiko ya mleta uzi, huoni kabisa mantiki ya kulalamika kwake...

Wabongo hebu tutumie muda kutafakari mambo kwa kina kidogo kabla ya kuwa na hitimisho la fikra zetu...
 
Upo kama mimi sasa mimi nimeambukiza wote kupenda katuni ninapenda animation mno hakuna animation inayotoka nisiwe nayo, kwenye hizi movie studio napochukua wamenipa na jina la Mzee wa animation nikionekana tu wanajua nilichofata nina hard disk kama tatu zimejaa animation tupu maana ulevi huu umeanza tangu zamani nilipofika chuo nikaanza kuzitunza kwenye disk huwa sifuti kabisa,kiufupi animation movies ndo movies namba moja nazozipenda,
 
Angalia kwanza umri wa mkeo yawezekana kipindi unamuoa ulimkomaza aliruka stage
😐, Amekulia life ya kawaida tu, Labda style ya maisha ameanua kuwa karibu na cartoon, lakini ni too much,
 
Mkuu, mi sijaoa ila issue ndogo iyo achana nae kabisa. Mpe Hi Sana Shem.
 
Ni kawaida tu hata mimi pamoja na utu uzima wangu napenda sana kuangalia katuni..!
πŸ˜€πŸ˜€, Aise, Toka nilipo fikisha miaka 24 hivi, cartoon niliwatupilia mbali pamoja na movies za kihindi.
 
Binafsi huwa namshangaa sana mtu anaefurahia katuni,ingawa tangu nilikua nawaona watoto wenzangu wakizifurahia lakini sikuwahi kutaman hata kuona kwa dakika


inafsi huwa namshangaa sana mtu anaefurahia katuni
Hata Mimi cartoon wapo kushoto kabisa, kiujmla huwa siwaelewi
 
Kwa hiyo hilo nalo ni Tatizo..!? Naona mnatuchukulia poa hapa, kila Ujinga mnaleta hapa Jukwaaani.
β€’ Usiwaze mkuu, kama kuna kitu hakipo sawa, kuhusu ME, kilete,
β€’. But sorry kwa kukukwanza 🀝

β€’ Lakini mkuu, mwanamke ni sehem ya ubavu wetu hivyo tuna haki ya kuwachambua πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…