Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Sawa mkuu Nimekuelewa, nitajirekebisha kwa hilo.



Sikua na nia mbaya mkuu, nilikua naomba ushauri tu hapa jukwaa pendwa, ndo maana members Mnatoa maoni, mimi au mwingine kama anakutana na hili naye Atajifunza pia. πŸ™
Pamoja mkuu
 
kuna baadhi ya katuni zinamafunzo bora na muhimu kuliko izo action movie za kuuwana unazotaka aangalie.
 


Una mke mzuri sana. Ukitaka waweza mharibu.
 
kuna baadhi ya katuni zinamafunzo bora na muhimu kuliko izo action movie za kuuwana unazotaka aangalie.
Mimi Hizo huwa ndo nazipenda, pamoja na za kikorea,
 
Angalia animation izo tena kwa umakini sana, utasema ulichelewa wapi kuangalia katuni
1. Coco
2. Encanto
3. Chicken run 1 and 2- hapa nipo naangalia part 2 ya mwaka huu bonge la animation, na mafunzo ya kutosha.
4. Despicable 1, 2 and 3
5. The inclidibles 1and 2
6.Moana
7. The lion king 1,2 , 3 and 4 namba nne imerudiwa kwa kuwa na Kila kitu kimya
8. Madagascar 1,2, and 3, I like to move move song ila , na
9. Marry Madagascar
10. Bellerina ,bonge la animation na mafunzo ya kutosha,
11. Zootopia ,Kuna wimbi mkali kweli wa Shakira unaitwa I will try everything
12. Ratoutole - bonge la animation
13. Puss in boot 1 and 2, huta jutia bonge la animation hasa part 2 last wish ,
 
Bro,mimi binafs niko addicted sana na cartoon,naangalia tena naangalia tena nikiwa ma kijana wangu,na imekuwa sehem ya fundisho kwake,tena hata majina nakutakia,Rango,prince moana...etc
 
πŸ˜€πŸ˜€, Hapana mkuu, mimi nipo na Movie za kitalibani,
 
Bro,mimi binafs niko addicted sana na cartoon,naangalia tena naangalia tena nikiwa ma kijana wangu,na imekuwa sehem ya fundisho kwake,tena hata majina nakutakia,Rango,prince moana...etc
β€’Hatari sana mkuu, πŸ˜€,
β€’ Ukiwa na kijana unaweza angalia kwa mda mfupi sana, ila siyo kila time na cartoon
 
[emoji1787][emoji1787] huyo ni tapeli na mdananda Nick ni character wangu pendwa kwenye animation movie ya Zootopia
πŸ˜„, kumbe hata ubongo kids, yawezekana wanaingiza hela ndefu sana,
 
Kuna wanaume hamna jema.
Akitulia ndani kuangalia katuni na watoto shida, akiwa mzururaji wa kwenye vidogoro nayo shida.
Ni nini mnataka??
Mimi mwanaume lakini namshangaa mwanaume mwenzangu kuona kuna Jambo haliko sawa juu ya mkewe kisa kupenda katuni.
Ushauri wangu kwake afurahi na azidi kumpenda kama mkewe anapenda katuni na anashinda na watoto akisocialize nao muda mwingi huku akitimiza majukumu yake kama mama. Wengi tuliokulia maisha ya ushuani tunapenda katuni mpaka sasa
 
β€’ Usiwaze mkuu, kama kuna kitu hakipo sawa, kuhusu ME, kilete,
β€’. But sorry kwa kukukwanza 🀝

β€’ Lakini mkuu, mwanamke ni sehem ya ubavu wetu hivyo tuna haki ya kuwachambua πŸ˜‹
Mke akiangalia Cartoon kuna shida gani!?
Mimi mwenyewe bora nitizame Cartoon kuliko Bongo Movie.
 
Mke akiangalia Cartoon kuna shida gani!?
Mimi mwenyewe bora nitizame Cartoon kuliko Bongo Movie.
Kuangalia cartoon shida hamna, ila mda unaotumika kuangalia hizo cartoon ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…