Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Ashamegwa ila kastuka jamaa si mkweli kwenye mambo hayo hivyo amefikia tamatiNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro unachapiwa
Hapa kwenye "You just act seriously and accordingly" pana mashaka makubwa sana jamaa itakuwa kaifuta papuchi vumbi kisawasawa.
Bagwell
Nimechekaa hadi nainekana chizi hapa.Kuna muda hautapata wasaa wa kuingia humu kuuliza.kwahiyo ongea nae vizuri akutafsirie na anza kozi ya hiyo lugha Mara moja,ikiwezekana akufundishe yeye hata usiku kabla ya kulala.
Kuhusu hiyo sms ndo niko na kamusi hapa naungaunga nikimaliza maneno yote ntakutafsiria mkuu wangu.
Hujawahi kuwa seriously mkuu. HahahaaKuna muda hautapata wasaa wa kuingia humu kuuliza.kwahiyo ongea nae vizuri akutafsirie na anza kozi ya hiyo lugha Mara moja,ikiwezekana akufundishe yeye hata usiku kabla ya kulala.
Kuhusu hiyo sms ndo niko na kamusi hapa naungaunga nikimaliza maneno yote ntakutafsiria mkuu wangu.
hapana anamaanisha SMGsma ndio sms?
Msg kabla ya hiyo uliyotuwekea inasemaje?
Umenishangaza. Hiyo msg aliyotuma huyo jamaa ina grammar mbovu sijawahi kuona hadi baada kuona tafsiri yako nikagundua ameandika kiingereza kwa mpangalio wa kiswahili.Ok hii ndio tafsiri yake: "Nakuelewa...Bado sijalala, hata hivyo kwa kusisitiza huo ndio msimamo wangu na hautabadilika...Hakuna tatizo, we kuwa siriazi na fanya kama inavyotakiwa"
Sasa mkuu hapo bado haitoi picha kamili kama ni ya mapenzi ama la, labda uongezee nyingine zaidi ili kuleta picha kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeweza hadi kukikariri hivyo sasa inakuwia gumu wapi kuelewa hadi utuumize vichwa kukufafanuliwaNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
πππππππππππDaah nacheka [emoji81][emoji81][emoji81] lakin on a serious note,you're facing an ugly truth that your woman is selling your empire kwa bei ya mnada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza mkuu!? We acha tu, jamaa si mnafiki hata kidogo.Nimechekaa hadi nainekana chizi hapa.
Kama umeweza kujua hilo jina ni hatari!bhasi unaelewa ila unatusanifu sio????Majina mengine hatari sana
Hivi bujibuji una nini wewe?Chadema Ni msingi ..... No fear no hate