Na wewe una mke? Yaani mambo ya mke na mme unayaleta JF kweli? Wanawake wanapitia majaribu mengi sana hapa duniani kama na wewe umeoa!!Nakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Na Mimi si nimeongea kizungu msaada wenu plzHivi bujibuji una nini wewe?
Bro unachapiwa
Hapa kwenye "You just act seriously and accordingly" pana mashaka makubwa sana jamaa itakuwa kaifuta papuchi vumbi kisawasawa.
Bagwell
Hata wa malawi wanaongea English lakini miongoni mwao wapo ambao hawasoma hata elimu ya msingi
oh sawa....Hata wa malawi wanaongea English lakini miongoni mwao wapo ambao hawasoma hata elimu ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Love is politicsNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Mle tiGoNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Adhabu au stareheMle tiGo
Yaani kesho tu unagongewaNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly
Huo ni miongoni mwa ujumbe wa mke wangu, sijui kwanini umenikosesha amani. Naombeni mnisaidie kutafsiri
Na kukubwa na chakushukuru si anarudi nayo ikiwa chupin eidha mbichi ama kavu? Angeliacha huko ndio tatizoMkuu ni mambo ya kazi tu hayo! Relax, si lakini jioni anarudi home au analala huko huko??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]my ribsNakuelewa..bado sijalala, however on a serious note that has been my stand of which shall sustain...hakuna tatizo you just act seriously and accordingly