Wachu macheke
Member
- Oct 8, 2024
- 68
- 120
- Thread starter
-
- #21
Tuna watoto wawili nina mashaka na mtoto wa kwanzaYes hayo maneno ya mwisho Zingatia sana "bora tuachane"! Achana nae uone kama kuna ukweli! Kama kaongea hivo aiseeh kakuchoka na ana mtu Anajipigia vizuri tu,kuwa makini na hao watoto mlio zaa nao huenda mmoja ni Wa jamaa. Piga chini
Cha kuongezea usimlilie yeye sio MUNGU tafuta mwanamke mwingineKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Salama Kaka Mzima Kabisa WeweDR Mambo Jambo habari za hasubuh mkuu
Za uzimaNi urafiki tu
Mi mzima wa afya namshukuru Mungu sijui wewe huko ulipo mkuuSalama Kaka Mzima Kabisa Wewe
Kuwa makini na watoto wa kwanza katika famili nyingi huwa famba, yaani ukiona dogo hamfanani kwa chochote kuanzia kichwa hadi miguu au hata baadhi ta tabia zako basi ujue fambastic.Tuna watoto wawili nina mashaka na mtoto wa kwanza
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Mwanaume bwegeKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndo maana nafikiri kila mtu Ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Acha upekuzi utakufa mapema. Unataka uishi na mtu kama ulimzaa wewe na kumfungia ndani kwamba hajuani na watu.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini