🤣🤣🤣🤣 Umesema kwenye account yangu ya kigeni?Njoo tunywe kahawa wakati huo Wakala wangu anakamilisha kuhamisha mwamala kwenda kwenye ile akaunti yako ya Fedha za Kigeni
Kuweni na imani na Wazee 🤗
Huna experience ya hizi mambo that's why unaandika cheap facts 😃😃😃Babu ujengewe sanamu pale bungeni.
Muwe mnawaelimisha hawa watoto kina Manyanza na Nikifa MkeWangu Asiolewe
Hahaha.....................nilisahau, kumbe ni ile akaunti ya ndani ya Fedha za Vikoba? 😜🤣🤣🤣🤣 Umesema kwenye account yangu ya kigeni?
Aisee,kahawa njema mkuu!
Karibu sana mbeya
Dah. miaka 6? Unastahili shahada kuuuubwa ya uvumilivu kiongozi! Degree ya udaktari na internship ushamaliza hapo tangu wameanza mambo yaoKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hiyo kauli ya bora tuachane, anaonekana ana mambo mengi huyo.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
SawaBabu ujengewe sanamu pale bungeni.
Muwe mnawaelimisha hawa watoto kina Manyanza na Nikifa MkeWangu Asiolewe
Sio kitu ambacho ni common ila ni kitu ambacho kinatokea mwanaume na mwanamke kuwa marafikiHakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme, tusidanganyane humu. Huyo mume ndio angekuwa na rafiki mwanammke miaka 6 yeye angekubali?
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Mwanamke hatakiwi kukuambia wewe tuachane, akikuambia hivyo tu ushaharibu.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Acha kupotosha, urafiki upo sana.Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanamme, tusidanganyane humu.