Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Na kàma mkeo amezaa akiwa kwako hao watoto si wako.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Kweli kuachana syo rahisi,lakini hizo ni ishara mbaya,kipi Bora kuishi kwa wasiwasi mda wote ama kulea watoto ukiwa mwenyewe?afu hii dhana ya kusema nikimuacha huyu mwanamke watoto wangu watapata tabu,ni hoja dhaifu sana,mwanamke akizingua piga chini peleka watot kwa Bibi yao au weka mfanyakaz wa ndanSometimes labda ni hasira tu! Zilimfanya akaropoka vile halafu suala la kuachana sio suala rahisi km watu wengi humu jf mnavyolichukulia especially mnapokuwa tayari mna watoto
Oooh salaaaleee nakuja pm babu 😊 vijana wa siki hizi hatuna adabuHahaha........ Mjukuu, ni asali hiyo hiyo inayotengenezwa na Nyuki 😜
Bahati mbaya tuliwahi kuonywa kuhusu kumwaga Mchele kwenye Kuku wengi, otherwise I should have said it all 🤗
Hakuna jibu inategemea iwe ndio au hapana. Ukisema inategema unamaanisha nini? ikiwa rafiki mzuri kuliko wewe au inategema nini?Inategemea.
Mmoja Ana dalili zote niliibiwaNa kàma mkeo amezaa akiwa kwako hao watoto si wako.
Issue sio uzuri wake bali ni urafiki wao.Hakuna jibu inategemea iwe ndio au hapana. Ukisema inategema unamaanisha nini? ikiwa rafiki mzuri kuliko wewe au inategema nini?
Hizi ndoa zenu wabongo bhana! Mnakutana tu Sabasaba Maonyesho mnasombanaKifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Sawa mkuu mimi ni bwege wewe ni mkamilifu Mungu wetu ni mmojaWewe ni bwege
Kwa hiyo anakubip na wewe hautaki kumpigia?Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Jibu unalo tayari 😂😂amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hahaha..............haya njoo nakusubiri, nimeshaandaa kigoda kwaajili yako 🤗Oooh salaaaleee nakuja pm babu 😊 vijana wa siki hizi hatuna adabu
Akipima DNA itakua disasterIla wasipime DNA watoto.
Tayari ana option ndio maana haoni cha kupoteza nipo kwenye ndoa pia ila hapo hiyo ni bendera nyekundu hebu fuatilia.Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Kauli hii Ni Redflag sana..
inatakiwa Uifikirie Mara Mbili Rafiki yake HalFu muda huo aje na Suluhisho hili...Kuna uwezekano amekuchoka Au Kuna haja humtimizii Hivyo amemkumbuka Huyo jamaa..
no offence but Chunguza Huyo anakuzunguka
Yaani aibu naiyona Mimi [emoji24][emoji24][emoji24]Achana nae kabisa, mtu yupo tayari kukupoteza kwasababu ya rafiki yake. Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba wewe kwake si muhimu kama alivyo rafiki yake, kwa maana nyingine huna thamani kwake. Sasa kuendelea kubwatuka bwatuka bila vitendo ndiyo unazidi kujidhalilisha kabisa na kuonekana wa hovyo. Kiufupi unatia aibu kwa jamii forum members.