Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Na kàma mkeo amezaa akiwa kwako hao watoto si wako.
 
Sometimes labda ni hasira tu! Zilimfanya akaropoka vile halafu suala la kuachana sio suala rahisi km watu wengi humu jf mnavyolichukulia especially mnapokuwa tayari mna watoto
Kweli kuachana syo rahisi,lakini hizo ni ishara mbaya,kipi Bora kuishi kwa wasiwasi mda wote ama kulea watoto ukiwa mwenyewe?afu hii dhana ya kusema nikimuacha huyu mwanamke watoto wangu watapata tabu,ni hoja dhaifu sana,mwanamke akizingua piga chini peleka watot kwa Bibi yao au weka mfanyakaz wa ndan
 
Yaani wew umeshapigwa ni kitu kizito chenye ncha butu kwa kisogo ni vile tu hujielewe.
 
Hahaha........ Mjukuu, ni asali hiyo hiyo inayotengenezwa na Nyuki 😜

Bahati mbaya tuliwahi kuonywa kuhusu kumwaga Mchele kwenye Kuku wengi, otherwise I should have said it all 🤗
Oooh salaaaleee nakuja pm babu 😊 vijana wa siki hizi hatuna adabu
 
Hakuna jibu inategemea iwe ndio au hapana. Ukisema inategema unamaanisha nini? ikiwa rafiki mzuri kuliko wewe au inategema nini?
Issue sio uzuri wake bali ni urafiki wao.
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Hizi ndoa zenu wabongo bhana! Mnakutana tu Sabasaba Maonyesho mnasombana
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Kwa hiyo anakubip na wewe hautaki kumpigia?
 
We mwanaume wa wapi?
M mwanamke anakuwa hajamaliza hiyo kauli mabegi yake yote nshatoa nje
 
Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Tayari ana option ndio maana haoni cha kupoteza nipo kwenye ndoa pia ila hapo hiyo ni bendera nyekundu hebu fuatilia.
Ana wasiliana nae na hataki kuacha.
Anakutuhumu kuwa ni malaya
Anasema bora kuachana🤔
Mwanamke akianza sarakasi huko nje kila majadiliano naye kuhusu mahusiano yenu huamsha ugomvi
 
L
Kauli hii Ni Redflag sana..

inatakiwa Uifikirie Mara Mbili Rafiki yake HalFu muda huo aje na Suluhisho hili...Kuna uwezekano amekuchoka Au Kuna haja humtimizii Hivyo amemkumbuka Huyo jamaa..

no offence but Chunguza Huyo anakuzunguka

Kuna msichana flan hiv alikuwaga demu wang long ago kipindi tunasoma. Huyu demu alikuwa ananipenda sana Ila mim Sasa! Kipindi hcho ndo waluwalu kinomanoma.

Demu hatukusoma chuo pamoja lakini, alikuwa ananikubali kiasi kwamba mpaka anapata mshikaji mwingine, alikuwa ananipanga, like Iko hivi na vile. Mpaka jamaa anamchumbia still bado tunawasiliana, sijui Ila nahis ni vile mwanamke anakuwa anakukubali kwasababu zake.

Lakin baada ya kuolewa, nimeona ni muda sahihi wa kuacha aendelee na maisha yake, nayeye mwenyewe amekiri kabisa Kwamba ni sahihi. Wanandoa wanatakiwa kujua Kwamba upo muda wa kupunguza muda na marafiki na kuspend more time na familia/husband/wife.

Huyo mwanamke anarudi hatua tano nyuma, Bora jamaa apige chini atafute watakaeendana.
 
Achana nae kabisa, mtu yupo tayari kukupoteza kwasababu ya rafiki yake. Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba wewe kwake si muhimu kama alivyo rafiki yake, kwa maana nyingine huna thamani kwake. Sasa kuendelea kubwatuka bwatuka bila vitendo ndiyo unazidi kujidhalilisha kabisa na kuonekana wa hovyo. Kiufupi unatia aibu kwa jamii forum members.
Yaani aibu naiyona Mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom