Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Na ukome
 
Kiukweli kwa sasa ndoa zina matatizo mengi kuliko mahusiano ya kawaida.
 
Mrejesho
 
Mkiambiwa kuoa mwanamke ambaye sio bikira ni sawa na kuoa mke wa mtu muwe waeelewa,,

Pengine mkeo anataja jina la mwanaume wake aliye mtoa bikira..
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Hakika, saiz kila kona vilio, tena vilio vya kufanana
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
yaani kuchepuka uuchukulie kama udhaifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…