bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Ooooh sorry dear!Mi ni mwanamke jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh sorry dear!Mi ni mwanamke jaman
Kumbuka huyo mke wako naye ana ex wake ni kuvumiliana tu.Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.
Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.
Hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
NakaziaDuh,
Huyo ndo anajua kumfikisha
Mi ndo mana naitaga bebi, sipendi kesi kabisa🤣🤣🤣Shuleni mliitana majina
Kazini mnaitana majina
Mtaani mnaitana majina..
Hadi huko nako bado mnaitana majina??
Na mnaocheat wote mjikute mmeropoka majina tofauti kiwalambe kama cha Babeli yan.
pole Sana mkuu, wazee wa kale walisema fimbo ya mbali haiui nyoka, sepa fasta usije fanya maamuz magumuTumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.
Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.
Hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Ndiomaana hakuna tena ulazima wa ndoa miaka hii, maana msingi wa ndoa ni kile kiapo, sasa kama hakifuatwi tena kwa kivuli cha madhaifu ya kawaida nini haja ya ndoa.?Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Unataka kuniambia hujawahi kumtaja jina la yule anayenoga kupita wote dunia nzima???Shuleni mliitana majina
Kazini mnaitana majina
Mtaani mnaitana majina..
Hadi huko nako bado mnaitana majina??
Na mnaocheat wote mjikute mmeropoka majina tofauti kiwalambe kama cha Babeli yan.
Unamaanisha nini?Nina laptop iliyotumika. Natoa BURE kwa anayeitaka. Piga 0673 553524
Watazoea tu ni jambo la muda. Kibao kimewageukia😅😅Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Hadithi yako inatufundisha nini?Nimeleta hapa ili iwe funzo kwa wengine.kiap changu nakitunza maana hakuna anaenifahamu humu
Hasara ziko kotekote. Hata mwanaume anaweza pata kansa ya koo kwa kupata hivyo virusi. Unajua kwa nini kansa za kwa wanaume zimeongezeka?Kushindana kutoka nje hasara kubwa kwa mwanamke kuliko mwanaume sababu ya maumbile ya via vya uzazi.
Wote wanaweza kupata HPV kwa mwanaume isimletee shida ya kifo lakini HPV wakiingia ukeni mwanamke anaweza kupata saratani ya shingo ya uzazi (cervical cancer).
Pia ni rahisi zaidi kwa mwanamke kupata HIV kuliko mwanaume.
Mwanamke anaweza kupata mimba mtoto wa nje na hawezi kusema akamfiche alelewe kwa baba yake halisi lakini mwanaume anaweza kubali mtoto wa nje akamuacha alelewe na mama yake halisi.
Kazi kweli. Kuna majirani zangu kama wa 3 wake zao wanachepuka. Yaani siku hizi mambo tafraniWatazoea tu ni jambo la muda. Kibao kimewageukia😅😅
Ndoa za siku hizi ni shida sana. Yaani sio wake na waume za watu, wote wanachepuka. Ndoa zimebaki sehemu za kulelea watoto tu ,unminifu ni zero kabisa.Huyo aliomtaja ni mchepuko wake trust me wake za watu wanacheat sana siku izi yani ukitongoza mke wa mtu ni rahisi kumpata kuliko aliye single
HahahMi ndo mana naitaga bebi, sipendi kesi kabisa🤣🤣🤣