Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Shuleni mliitana majina
Kazini mnaitana majina
Mtaani mnaitana majina..
Hadi huko nako bado mnaitana majina??

Na mnaocheat wote mjikute mmeropoka majina tofauti kiwalambe kama cha Babeli yan.
Sema kimeumana 😂

Mazoea yana tabu sana, niliwahi ita mtu jina sio lake na kwa bahati mbaya alikuwa anamjua, mahusiano yaliishia palepale.
 
° Penzi la mbali ni illusion tu, halina uhalisia wala ukweli
° Wake zetu hawajali tena, wapo kwenye revenge mode. Wanalowekwa kama kawaida tu.

Mzae watoto mlee tu hivyo, ila uaminifu wa wake zetu umeshuka sana.

Pole.
hzo pussy/dck hamkuzitengeneza nyie wala hazitawapeleka mbinguni, achan kujipa pressure kwa vitu visivo na maana yoyote, kwanza ukiwaza kwa ukamilifu kutomberna ni kitendo cha kipuuzi sana ni sawa na kula tu, kitu cha kinakupa raha ya sekunde ya nn kikuuwe kwa pressure kisa kimeliwa na mwingine.
 
Kuna member humu, simkumbuki jina wala jina la uzi, alisema hivi...

"Uzuri wa mapenzi, unaujua ukweli halafu unaukataa"

Mwisho wa kunukuu😂😂
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Kama nyinyi wanaume munavyoona kuwa na michepuko ni haki yenu basi sasa kichapo kimewarudia.
 
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Imeishaaa hiooooo........ Ni ngumu sana kwa mwizi kukiri kosa lake la uhalifu hata kama amekamatwa na ushahidi... pole sana.Disemba inakuendea vibaya sana
 
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Imeniuma mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom