Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Kuchapiwa Siri ya ndani Mzee wangu unakwama wapi? Ulianza kuchapiwa kabla haujamuoa kwani ulimkuta bikra?Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vzr ru toka juzi.jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.