uzewela
Senior Member
- Jul 29, 2020
- 133
- 289
- Thread starter
- #41
Bado natafakari hatua za kuchukua sitakiwi kukurupuka ukizingatia jambo lenyewe limetokea usiku wa kuamkia leo.na leo ndio nasepa kurudi kuleSasa majibu yote unayo, wewe ndo uliyesikia sasa unataka sisi tuthibitishe nini?
Huyo uliyesikia ndo kidume Sasa wewe tuambie umechukua hatua gani nasi tujifunze.