Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

Ndoa ni mwanaume na mwanamke kuishi pamoja, ....
hakuna ndoa ya remote iliyowahi baki salama.

Wewe unachapa
Na yeye anachapwa
Life goes on
Vumilianeni tu, with this new reality.
 
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.

Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.

Hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeendelea kupeleka moto angemalizia kirefu cha ilo jina umefeli bro
 
Kama mnaishi 'away game' basi umekwisha mi nilifikiri mnakaa pamoja nilitaka nikusaidie kitu.
 
Halafu ulikosea kukata stimu ulitakiwa uendelee ungepata majina yote hadi sehemu anapokaa..😁😁
 
Pole sana. Hapo ukweli ni kwamba anamwanaume mwingine. Na amezoea kumtaja jina wakiwa wanafanya mapenzi. Sasa Rudi kazini kwako Kwa Amani, katafakari Kwa kina na ukaekimya Kwa muda bila mawasiliano, wala usimpigie simu mpaka apige yeye Kwa muda wa miezi mitatu.
Wakati wa tafakuri hiyo ambatanisha na muda wa sala. Utapata majibu haya:

1. Ataumwa sana na kupungua Kwa Kasi ya ajabu Kwa maumivu makali akijutia like alichofanya
2. Atakuomba msamaha.
3. Ataanza kukwambia kuwa anawazo la kuhama aje uliko wewe
4. Atamtaja mwanaume huyo kuwa ni kweli anamahusiano naye
5. Mwisho ataomba kikao Cha familia

Hapo ndipo utakapo amua mbele ya familia na kuonyesha MSIMAMO WAKO. MSIMAMO WAKO ni Siri yako moyoni, utatamka siku ya kikao.

MUNGU AKUBARIKI NA KUKULINDA.

Sent from my RMX3231 using JamiiForums mobile app
 
Pole ila umechapiwa asilimia 200 na huyo anaekuchapiaa anaichapaa vizurii mnoooo...!! kiufupi hiyo ndoa kwa mwanaume anaejitambua imeshakufaaa.
 
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.

Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.

Hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Hebu tujibu kwanza hili, wewe vp unachapa nje? isije ikawa unamlaumu mwenzako wakati na wewe unafanya vivo hivyo!

Chukua hatua, amueni moja kati ya career na familia! hakuna ndoa ya remote!
 
Kwa sasa tulieni tu na mridhike na hali ya dunia inavyokwenda....asilimia kubwa sana ya wake za watu kwa sasa wameona ni kawaida kutoka nje ya ndoa.Chukulieni hili kama ni dhaifu kama madhaifu mengine la sivyo hamtoacha kuchinjana
Ni kama nimekusoma hivi ?? Maana kuna mke wa mtu anatafikia hadi kudanganya ili apate nafasi ya kutoka
 
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.

Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa kuendelea.

Hapa naona kabisa nachapiwa ila anakataa kuwa hajataja jina lolote zaidi ya kifupi cha jina langu.
Ametaja jina gani mkuu
 
Back
Top Bottom