switch Off
Member
- Oct 30, 2019
- 50
- 205
Acha kumpa attention achana nae mkuu. Tafuta plan B.Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa
Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.
Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.
Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani
Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Ana ndoa ya kikuristo, hawezi kutengana nae.Anakucheat huyo, shtuka kaka
Duh,Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Sure, kesi za namna hii ni nyingi mnoDuh,
Ndiyo maana wanaume na michepuko ni kama samaki na maji
Mkuu umeo? au unaropoka tuu, vipi NGOMA ikienda MAHAKAMANI na yeye akakazia kabakwa. hujui kwamba wanawake wanasikilizwa na kuaminika zaidi kuliko sisiWanaume wa kisasa mmekuwa wadhaifu sana
Inasikitisha mwanaume kama mwanaume eti unakosa raha kutokana na kauli ya kipuuzi kama hio kutoka kwa mwanamke.
Kwa style hii, Feminism itazishinda familia zote..
SHAME ON U
Kama wewe si member anayejifanya bwege ili apate wachangiaji wengi basi mkeo anafanya hivyo kwa sababu anajua wewe una wanawake wengi pembeni.Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa
Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.
Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.
Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani
Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Oa mke wa pili (kama imani yako inaruhusu) naamini baada ya hapo atakuwa anakupa hata kwa siku mara tatu wala wewe hutakuwa unamuomba tena.Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa
Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.
Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.
Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani
Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
UnapigiwaHabari zenu wauu

Habari zenu wauu

Wee kuweza love????