Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Achana naye huyo, na mpeleke kwa wazee akaeleze alimaanisha nini.
Akishindwa kueleza achana naye utafute kabinti kanako stahili.
 
Wanaume wa kisasa mmekuwa wadhaifu sana

Inasikitisha mwanaume kama mwanaume eti unakosa raha kutokana na kauli ya kipuuzi kama hio kutoka kwa mwanamke.

Kwa style hii, Feminism itazishinda familia zote..

SHAME ON U
Nilikuwa natafuta hii comment,mkuu unaweza

Ku imagine mkuu, ina maana uyu jamaa,mke wake ana sauti ndani kuliko yeye,kweli wanaume wa kisasa ni hasara sana

Feminism lazima iwe na nguvu kwakweli
 
Kid
hata akiwa mke kumlazimisha kukupa unyumba ni kubaka

ivi hata akikupa kwa ridhaa ila akaenda kushtaki umembaka na uchunguzi ukaonesha kweli kaingiliwa sijui kesi inakuwaje

hii ya kubaka kwenye ndoa kwa kweli ni mtego mbaya kwa wanandoa wa kiume
Kisheria huwezi kumbaka mke wako. Kwan huyo ni halali yako iwe anataka au hataki. Hakuna kesi.
 
Nilikuwa natafuta hii comment,mkuu unaweza

Ku imagine mkuu, ina maana uyu jamaa,mke wake ana sauti ndani kuliko yeye,kweli wanaume wa kisasa ni hasara sana

Feminism lazima iwe na nguvu kwakweli
Hasara tupu mkuu

Ndio maana mademu wamekuwa na kisiranj, sio malaya sio michepuko sio wake yote ni kwa sababu wanaume wamekuwa wdhaifu na kubabaika na hawa wnaawake.

Kinachofatia ni ujinga kama huu
 
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Ko umeamua kususia kedele shamba lako. We jamaaa 🚮🚮😂
 
Wanamla; Hakuna mwanamke asiyetaka tendo la ndoa duniani; huwezi pata kesi ya kubaka kwa kulala na mke wako halali.

Hayo anayosema ya kubaka anajadili na msaliti wako, ndo maana anakuwapumbavu, Jipange, hakika maumivu yanakuja.

Mwanamke anayekunyima tendo la ndoa ( I don't care the reason ) na ni mzima wa afya, wanamla huko nje wahuni!

Asikwambie mtu sijui Hana hisia, BLA BLA upumbavu, wanaliwa huko nje, na hawawezi kuficha ndo jambo la ajabu, anakuona kama wewe ni kikwazo!

Wito kwa vijana hawa wanawake wavumilieni, ila kamwe asije ona unambembeleza sana na huwezi kumuacha, atakutesa!
Ukweli mchunguu huu
 
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Hawa wake zetu ndyo wanatusababishia wanaume tuanze kuchepuka!
Hili jambo lipo Sana kwenye hizi ndoa zetu.
We tafuta mchepuko wako wakukutuliza moyo.
 
Wanaume wa kisasa mmekuwa wadhaifu sana

Inasikitisha mwanaume kama mwanaume eti unakosa raha kutokana na kauli ya kipuuzi kama hio kutoka kwa mwanamke.

Kwa style hii, Feminism itazishinda familia zote..

SHAME ON U
Wewe jamaa ni mjinga sana tena sana japo akilini mwako unajiona umeandika kitu cha maana, yaani mtu kaja na sensitive topic ambayo inawagusa wanaume wengi sana miaka hii, halafu wewe unakuja maneno ya kufedhuli na karaha yasiokuwa na msaada wowote ule mpuuz kweli wewe.

Naamini kabisa wewe hujui kama siku hizi kuna kitu kinaitwa marital rape na jinsi wanawake wanavyoitumia kuwaangamiza wanaume.

Bila shaka utakuwa bado kijana mdogo sana hujakomaa kiakili.
 
Mjinga ni baba yako alieolewa na mama yako wakaazaaa jike dume kama wewe.
 
Hii naijua,Ilishawai kunitokea.
1.Husimpe hela wala kumjali
2.Husimuombe tena hiyo nunu yake
3.Chelewa kurudi,Pitia ata bar angalia mieleka tu au mchezo wowote ila chelewa kurudi.
4.Tafuta mwingine wa pembeni uwe unapoza mashambulizi,Uwe unaenda nyumban kwako kulala tu
N.B:Akikisha nyumban kwako chakula kipo ndani ila husimpe ela,bora ununue mwenyewe uweke ndani

C&P
 
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Zingatia hilo neno kubaka, huyo kishaliweka kichwani na ipo siku tu atakutafutia sababu. Lala huku jicho moja likiwa wazi, utanishukuru baadaye.
 
W
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
WAnanchi wa daktari samia mnapitia misukosuko mwanzo mwsho.
 
Back
Top Bottom