RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ukimzoesha kumbembeleza Kwa kila mnuno au mgomo!unatengeneza tatizo jingine!!!arudishe mahali hana akili ungemuuliza mbona uliikatikia😂😂😂😂
Ila nimehis mkeo ni wale wapenda kubembelezwa alafu wew unakaza sana hebu mdekeze mtoto wa watu 😄😄
Atakutawala kupitia kiungo!hiyo no mbaya sana,kutawaliwa kupitia maumbile ya mtu ambae huwezi yaumba!!
Bora akaushe asonge mbele!!
Hakuna dume liliumbwa kwaajili ya jike Moja coz majike mengi Yana upungufu wa akili !ukilitegemea moja lazima likuzingue!!