Mke wangu atanipeleka Gerezani kwa roho mbaya

Una option mbili tu nami hiyo changamoto nilipitia:

1) Ni kuendelea kula tunda kinguvu kila unapotaka mpaka apeleke kesi ukweni au ahame nyumba na kudai talaka.

2)Mchepuko ila hapa Kuna maumivu mengi na huongeza gharama za maisha pamoja na hatari ya magonjwa.
 
Nilikuwa natafuta hii comment,mkuu unaweza

Ku imagine mkuu, ina maana uyu jamaa,mke wake ana sauti ndani kuliko yeye,kweli wanaume wa kisasa ni hasara sana

Feminism lazima iwe na nguvu kwakweli
Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"

Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.

Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.

Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.

Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
 
Mjinga ni baba yako alieolewa na mama yako wakaazaaa jike dume kama wewe.
Ona sasa, ningeshangaa sana kama ungekuja na comment yenye akili, maana tangu mwanzo tu ulionesha upumbavu wako wa kuzaliwa nao, kwanza inavyoonekana umezaliwa kwenye danguro wewe humjui hata baba yako mzazi mwanaharamu mkubwa wewe.

Haya endelea kuanika upumbavu wako kila mwana JF ajione jinsi gani hii forum ilivyovamiwa na wapumbavu.
 
Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"

Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.

Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.

Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.

Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Acha kutisha watu ndg yangu. Embu leta iyo sheria ya tz inayotambua marital rape, nimekaa pale. Toa ushauri wa kumsaidia sio kumtisha for nonsense
 
Kwamba unabisha hapa Tanzania hatuna sheria inayotambua ubakaji kwa wana ndoa? Kwamba unataka mpaka ninukuu kifungu namba fulani au? Wewe unafikiri huyo mke wake angeweza kuropoka tu hivyo kama angekuwa hajui hiyo sheria ipo?

Sasa nimtishe hili iweje?
 
Embu nukuu au taja tu hiyo na Section hiyo. Unataka kuchukua hii case ufanye utapeli. Tajaaa
 
Huu ni ushauri wa kiume binafsi umenisaidia sana hadi kuyaokoa maisha yangu.
Huna haja ya kusumbuka na mpumbavu asiyejielewa
Lazima "u move on" kama gettleman, kwanini upoteze mda na mtu asio jielewa.
 
Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"

Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.

Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.

Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.

Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Yani ww umekuja hapa kutishatisha na kujifanya mjuaji na mwerevu kuliko wote,Umeombwa leta icho kifungu naona unarukaruka tu....Nimeona unasema eti machozi ya mwamamke yanaweza kuhukumu aseeee wee jamaa unajikuta nani humu,Non sense kbs.
Back to the point: Nataka nielimishwe mimi mke wangu nambaka vipi au yeye ananibaka vipi ikiwa sisi ni wana ndoa tena wa kanisani
 
Usimuachie hela ya kula na wewe
Akikupa ndio unamlipa
Akitaja dau kubwa unatafuta mwenye dau dogo kuwa mfanyabiashara

Mie nikinyimwagwa huwa nageuka mzungu wa nne
Usiwe mshamba wa maku
Sio Kila mke ni mama wa nyumbani wengine ana kazi nzuri ya kujilisha,bisha na kujenga
 
Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"

Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.

Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.

Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.

Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Hizo mambo zipo uko kwenu dar es salaam na Arusha,mnaoa wanawake ambao wengi wao ni tayari washakuwa feminist

Mnakuja kulaumu watu uku eti hatujui sheria zinamfavor blah blah

Mkuu,naimani ata wewe mke wako ana nguvu kuliko wewe ndani mwako,

Hizo mambo nyie ndie mnazipa nguvu,hayo mambo yapo uko ulaya na U.S.A sio hapa kwetu,labda kwakuwa mmeoa wanawake wasomi wanaodai wanatambua haki zao za msingi sijui
 
Habari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa

Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa

Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.

Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.

Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani

Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.

NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Hasara ya kuwa na mke mmoja hiyo. Mpandishe cheo
 
Usimuachie hela ya kula na wewe
Akikupa ndio unamlipa
Akitaja dau kubwa unatafuta mwenye dau dogo kuwa mfanyabiashara

Mie nikinyimwagwa huwa nageuka mzungu wa nne
Usiwe mshamba wa maku
Kuna Ile feeling Huwa inakuja pale ulipotaka akakuzingua,Ile feeling ni mbaya sana kuliko hats kuzinguliwa kwenyewe!ni Bora usiiombe kabisa!coz usipoiomba unabaki na umwamba wako na kusonga mbele,ukiiomba ukazinguliwa unakua kama umevuliwa ubingwa na huna nyimbo!!

Bora usiiiombe kabisa!kanunue!
 
Back
Top Bottom