MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.Nilikuwa natafuta hii comment,mkuu unaweza
Ku imagine mkuu, ina maana uyu jamaa,mke wake ana sauti ndani kuliko yeye,kweli wanaume wa kisasa ni hasara sana
Feminism lazima iwe na nguvu kwakweli
Ona sasa, ningeshangaa sana kama ungekuja na comment yenye akili, maana tangu mwanzo tu ulionesha upumbavu wako wa kuzaliwa nao, kwanza inavyoonekana umezaliwa kwenye danguro wewe humjui hata baba yako mzazi mwanaharamu mkubwa wewe.Mjinga ni baba yako alieolewa na mama yako wakaazaaa jike dume kama wewe.
Acha kutisha watu ndg yangu. Embu leta iyo sheria ya tz inayotambua marital rape, nimekaa pale. Toa ushauri wa kumsaidia sio kumtisha for nonsenseMnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"
Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.
Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.
Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.
Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Kwamba unabisha hapa Tanzania hatuna sheria inayotambua ubakaji kwa wana ndoa? Kwamba unataka mpaka ninukuu kifungu namba fulani au? Wewe unafikiri huyo mke wake angeweza kuropoka tu hivyo kama angekuwa hajui hiyo sheria ipo?Acha kutisha watu ndg yangu. Embu leta iyo sheria ya tz inayotambua marital rape, nimekaa pale. Toa ushauri wa kumsaidia sio kumtisha for nonsense
Embu nukuu au taja tu hiyo na Section hiyo. Unataka kuchukua hii case ufanye utapeli. TajaaaKwamba unabisha hapa Tanzania hatuna sheria inayotambua ubakaji kwa wana ndoa? Kwamba unataka mpaka ninukuu kifungu namba fulani au? Wewe unafikiri huyo mke wake angeweza kuropoka tu hivyo kama angekuwa hajui hiyo sheria ipo?
Sasa nimtishe hili iweje?
kisheria inawezekana ulizaKid
Kisheria huwezi kumbaka mke wako. Kwan huyo ni halali yako iwe anataka au hataki. Hakuna kesi.
Huu ni ushauri wa kiume binafsi umenisaidia sana hadi kuyaokoa maisha yangu.Acha kumpa attention achana nae mkuu. Tafuta plan B.
Lazima "u move on" kama gettleman, kwanini upoteze mda na mtu asio jielewa.Huu ni ushauri wa kiume binafsi umenisaidia sana hadi kuyaokoa maisha yangu.
Huna haja ya kusumbuka na mpumbavu asiyejielewa
Unapoteza mazima kila kitu chake imenisaidia sanaLazima "u move on" kama gettleman, kwanini upoteze mda na mtu asio jielewa.
Yani ww umekuja hapa kutishatisha na kujifanya mjuaji na mwerevu kuliko wote,Umeombwa leta icho kifungu naona unarukaruka tu....Nimeona unasema eti machozi ya mwamamke yanaweza kuhukumu aseeee wee jamaa unajikuta nani humu,Non sense kbs.Mnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"
Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.
Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.
Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.
Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Sio Kila mke ni mama wa nyumbani wengine ana kazi nzuri ya kujilisha,bisha na kujengaUsimuachie hela ya kula na wewe
Akikupa ndio unamlipa
Akitaja dau kubwa unatafuta mwenye dau dogo kuwa mfanyabiashara
Mie nikinyimwagwa huwa nageuka mzungu wa nne
Usiwe mshamba wa maku
Hizo mambo zipo uko kwenu dar es salaam na Arusha,mnaoa wanawake ambao wengi wao ni tayari washakuwa feministMnaandika maneno ya kipumbavu yaliyojaa dharau wala hayana mantiki yoyote zaidi ya kuonesha akili zenu za kitoto halafu mnajiona eti ni vidume wapuuzi kweli nyie.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wala wajinga ambao bado mnaamini "we live in a men's world and women are harmless beings"
Yaani mnavyoandika hizo comments zenu ni dhairi bado mko nyuma sana, hamjui kabisa jinsi sheria zetu zilivyokaa kimfumo jike kiasi cha kumfavor mwanamke na kumkandamiza mwanaume hasa linapokuja suala sensitive kama haya ya unyanyasaji wa kijinsia.
Sasa hiv mwanamke akikushitaki tu kwamba umembaka automatically wewe unakuwa guilty mpaka pale atakapokosa uthibitisho ndio utaonekana hauna hatia na tena muda mwingine anaweza asihitajike kuthibitisha bali maneno na mchozi yake tu yakatosha kukuweka wewe hatiani ukajikuta unaharibikiwa maisha yako... inavyoonekana nyinyi wajinga wawili hamjui kabisa hilo, mko hapa kupiga blah.. blah huku mkiichukulia poa feminism. Hakika mnasikitisha sana.
Sasa hv mwanamke unaweza ukafanya nae sex ya makubaliano kabisa, ila mkakorofishana tu kidogo ukashangaa anakugeuzia kibao kwamba ulimbaka na ikala kwako.
Huyu jamaa mpaka hapo yuko kwenye hatari ya kuvurugiwa maisha yake, maana huyo mwanamke anaonekana ni shetani mwenye umbo la binadamu na kuna dalili zote ipo siku atamshitaki jamaa kwamba alimfanyia marital rape, na hiyo kesi itamsumbua sana.
Hasara ya kuwa na mke mmoja hiyo. Mpandishe cheoHabari zenu wauu
lewekeke tuu kuwa Mimi ni mume wa mke wangu na MUNGU ametubariki watoto kadhaa
Kama munavyo jua kuhusu Tendo la ndoa kwenye ndoa, Kuna muda mke anaweza kujiachia kushiriki tendo na Kuna muda anaweza kukaza kwamba hataki, lakini ukiforce mazingira jambo linafanyika vizuri kabisa
Wiki mbili zilizopita nilihitaji kushiriki tendo na mke wangu, lakini alionyesha kama hataki kwa wakati ule, nikambembeleza hatimaye jambo likafanyika vizuri tuu.
Juzi tumekuwa na mgogoro kidogo nikashangaa ananiambia naomba nikuuliza jambo nikasean sawa niulizie.
Akauliza ""kwanini siku fulani ulinibaka"" Mimi nikabaki na mshangao ""kukubaka kivipi ?"" yeye akakazia "siku fulani ulinibaka "" Mimi nikamjibu tu sijawahi kukubaka mke wangu.
Sasa mgogoro wetu umeisha na tunaendelea na maisha vizuri kabisa lakini sasa nimeanza kumuogopa huyu mwanamke, nahisi anaweza kunipoteza kwenye huu ulimwengu na akanipeleka gizani
Sasa nimeacha kumuomba unyumba Hadi atakapo sema yeye anataka, kama asipotaka basi sitofanya chochote.
NB; huyu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Kuna Ile feeling Huwa inakuja pale ulipotaka akakuzingua,Ile feeling ni mbaya sana kuliko hats kuzinguliwa kwenyewe!ni Bora usiiombe kabisa!coz usipoiomba unabaki na umwamba wako na kusonga mbele,ukiiomba ukazinguliwa unakua kama umevuliwa ubingwa na huna nyimbo!!Usimuachie hela ya kula na wewe
Akikupa ndio unamlipa
Akitaja dau kubwa unatafuta mwenye dau dogo kuwa mfanyabiashara
Mie nikinyimwagwa huwa nageuka mzungu wa nne
Usiwe mshamba wa maku